kwa hilo la wazee sikushauri na sikuungi mkono solution ni yeye kumuomba mungu kwa moyo na kweli first then tafuten watumish wenye nguvu kama mwakasege atengue hayo mambo ambayo unashauriwa na wakina crocodile, maana hio ndio laana kubwa inayotutafuna waafrica wengi unakuta hio mizimu ambayo mababu zake walikua wanaitolea sadaka ndio inamuafect na yeye mpaka sasa hivi maana maandiko ya bible yanasema kafara inayotolewa na mmoja katika familia ina affect mpaka kizazi cha nne so nenda kaachane na hayo mizimu ili uwe huru, na kwa huyo husband wako huwezi husisha na mambo ya giza ni hali tu ya kawaida sasa hivi hapa tanzania kazi zinasumbua na wako wengi tu humu Jf wamekaa miaka mnne na tano na wamepata kazi, sasa ni yeye tu kumuomba mungu zaidi na kujituma zaidi kutuma application na kujituma zaidi kwenye business atatoka, na watu wa namna hio wakitoka hua hakuna kurudi nyuma, jaribu kununua na CD za mwakasege za jinsi ya kujinasua kutoka kwa kafara ambazo haukushirikishwa haukuzijua na ambazo umefanya na unazijua,
all the best.
jina la Yesu liinuliwe, na ubarikiwe wewe na familia yako, say Amen.