Ila mimi niliona sio Sawa kuweka hoja ya mume humu ili bidi uongee na familia yani baba,mama na kaka zake au dada zake au wewe mwenyewe mana una marafiki huko kazini kwako than humu mana nimep anaweza kuona au kujisikia vibaya akiona. Fanya kumuona wadhamini wenu wa harusi waliowasimamia, ila amini kwa mungu ndio ajengae ndoa na kuwapa yote mtakacho taka alisema yeye. Yeremia 33:3, kuwa karibu na mungu. mama simama kwa maombi, fikiri kama baba angekuwa anafanya kazi wewe upo home ingekuwaje? Na amini ukiweka juhudi na mungu lazima mumeo atapata kazi tuu.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums