Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Hakuna tafiti imekuja na jibu sahihi ni nini Mwanamke anataka!
 
Kama umechoka mahusiano nae muite mkae chini umueleze,,muelewane muachane kwa Amani,,,Kawaida ya Upendo huisha na ni kawaida hiyo,,,usianze kutafuta visingizio vya ajabu ajabu!!
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Jinga sana ww, kama hakupendi angetuma Hela Kwa hiyo feki yako
 
dont tempt faith
 
Yaani wewe hujajua dunia ilivyo. Kiufupi tu Mungu ametuumba wanaume kut00mba hatuna kazi nyingine huwa hakuna upendo uelewe.
Nikuulize wewe usipopata mahitaji yako utaziidi kumpenda ama huoni jogoo anatumia chakula kumtegea mtetea aje amt00mbe jamani.
So mwanaume anakuuzia tamaaa zake za kimwili na wewe unazinunua wakati huo huo ananunua fear yako ya basic needs za maisha so maisha yanasonga kwa namna iyo.

Yaani Ni sawa nakupa mbuzi unanipa chakula yaani lazima uwe na kitu Cha kutoa ili upewe kitu,hata mwanao Kama Hana faida kwako Ni kibaka,hasomi mtu wa matukio,yaani Anazo tabia mbaya zote utatamani hata akufe huu ndio ukweli wa moyoni.
Yaani wanaume Ni maisha tu Ila kila mmoja anapenda awe Kama mfalme Suleiman.
Usimchunguze na usimpime mkeo ama mmeo.
Binadamu anaanguka kwenye eneo lake la udhaifu Ni sawa na kuipima sumaku Kama itavuta chuma nyingine,ama Kama dunia itavuta jiwe ulilorusha juu ama Kama maji yatateremkia bondeni.

Yaani namalizana kutiiana na Beyonce nikikutana na Shakira napata hisia zaidi na nikikutana Alicia keys napata hisia Tena.

Kwani ukila kwako wali samaki ukija kwangu Kuna wali kuku Kama unayo nafasi utakula kama ulishindilia utatamani ule hata paja la kuku tu ,sema Ni kwa ajili ya uwoga ama fear ya macho ya watu wengine utajifanya kuwa Kama hutaki kula fulani ili uonekane mstaraabu Ila kiundani binadamu Ni mnyama uelewe ,

Pia elewa kila kitu dunia Ni trading yaani unatoa ama unabeba tamaa za kimwili za mwanaume naye anakupatia mahitaji yako so ni 50/50 mmojawapo akiwa hapati faida ama anaona Kama anapoteza lazima atakatisha huo mktaba ili iyo biashara isiendelee. Ukitaka kucheki hebu angalia usipokuwa na faida yoyote Ile hata mchungaji haji nyumbani kwako kukuletea neno.

Yaani Ni sawa na miti inapumua tunaivuta hewa yake na sie inavuta hewa tupumuayo Basi maisha yanaenda.

Yaani nothing is free under the sun ama huamini hii kauli ambayo binadamu wenzako waliishi kabla yako waliiona.

Unazaa ili iweje Kuna faida unaitegemea usipoipata lazima uumie emotionally.

Olewa halafu usizae ndio utajua Kama unapendwa,shida ya watu huwa wanajua kuwa Kuna ideal human being somewhere.

Wewe mwenyewe hapo ulipo unaweza ukaolewa na ukamuacha huyo mmewe najua utakataa sema Ni kwa vile tu conditions fulani hazijatimizwa Ila zikitimizwa unadai talaka mapema asubuhi kabla jogoo halijawika.

Mfano nikuambie kuwa unaweza ukamuacha huyo mmewe ili uone Kama unampenda ama humpendi ama upo kwake kisa Cha ku gain profit fulani Mana nishakuambia kuwa kila kila kitu Ni trade na tuna trade ili tupate faida unadhani huyo mwenye duka akakuletea sukari hapo unapoishi unadhani anakupenda mno,ama mwanasiasa anakupenda ama wenye dini wanakupenda ama wanacheki maslahi yao.

Mfano mzuri ukipata daua la kuolewa na tajiri mmoja Yuko USA,anakutafutia uraia wa USA,anakupatia passport yako,tiketi ya ndege,anaenda kwenu anawachia Kama 200M ,anawajengea nyumba ya Mana na usafiri anawaachia wa Mana,anawapa mradi wa Mana hata Kosta Kama 20 za kuwaletea hesabu na wewe mwenyewe anakuachia kitu Kama 300M anatangulia anakuambia wewe fanya Mambo yako utakuja muda utakaotaka kwani hutoweza kumfuata na hizo hesabu ama hizo Mali nimeenda juu mno.
Utakataa usiende kuishi mamtoni na kwenu akawabadilishia maisha.

Why Kama upendo upo unampeleleza mtu anafanya kazi gani ili iweje kwani kazi ndio inayokuoa. Hapo mwenyewe ulipo unaweza ukachepuka mtu akikuamulia
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Siku hizi wanaolewa watu bado wakiwa na utoto mwingi sana.
 
Wewe ni mwanamke mpumbavu, na utaibomoa nyumba yako kwa upumbavu wako mwenyewe.

Wewe ujiigize kama malaya alafu umuita mumeo mbwa, hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani.

Unataka upendwe vipi tena? Hovyo kabisa.
Hii thread imenifundisha mengi. Kumbe mfumo dume Afrika ni janga. Angekuwa ni ni mwanamme amemtega hivyo mke wake hapa huyo mwanamke angetukanwa matusi yote na kuitwa changudoa.
 
Daaah tuishi na Hawa viumbe Kwa akili Yaani mwanamke umuwekee mitego mwanaume halafu utegemee Nini? Shetani sio lazima aje na sura ya kutosha kumbuka shetani alikuwa malaika! Nakuona unavyopenda kuwa single mother

Back
Top Bottom