Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Acha mambo hizo wewe,hakuna mwanaume asiyevutiwa na mwanamke mwingine,unachokitafuta utakipata.
Yaani unataka kumtia majaribuni we mwenyewe yakikukuta usilaumu
ONYO.
Jitahidi asijue ujinga unaoufanya,anaweza akakuchukulia tofauti,mute kama hujawahi kujua chochote,nakuomba tafadhali shetani ana njia nyingi za kubomoa
 
D
Nyoka kashamuingia huyu mwenzetu ili amuingize mume kwenye jaribu

Hivi kweli unaweza kuweka pipi kwenye schoolbag ya mwanao halafu unalalamika kwanini amezila!? Eti mume ananisaliti🙄🙄

Hebu tuwapumzishe wanaume jameni
Dada,tuandae semina ya wanandoa😅😅😅😅😅😅maana shetani yupo kazini Sana kuharibu hiyo taasisi, imagine mtu anapata mwanaume mwaminifu ,anampenda Ila anaanza kuchokonoa yeye mwenyewe halafu baadae amlaumu..
 
D
Dada,tuandae semina ya wanandoa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]maana shetani yupo kazini Sana kuharibu hiyo taasisi, imagine mtu anapata mwanaume mwaminifu ,anampenda Ila anaanza kuchokonoa yeye mwenyewe halafu baadae amlaumu..
Mtakua mmetusaidia sana[emoji23]
 
Nyoka kashamuingia huyu mwenzetu ili amuingize mume kwenye jaribu

Hivi kweli unaweza kuweka pipi kwenye schoolbag ya mwanao halafu unalalamika kwanini amezila!? Eti mume ananisaliti[emoji849][emoji849]

Hebu tuwapumzishe wanaume jameni
Afazali wewe umejaribu kutuelewa[emoji23] Asante sana.....
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Yaelekea hujiaminiii katika ndoa yako, mara nyingi sana wanaume wanaoonekana kujali familia ka mmeo huwa wanapewa hints na mipango ya kando
 
Wewe unatafuta kuachika. Futa kabisa hizo akaunti na line haribu kabisa. Akikugundua kuwa unajitangaza mtandaoni unaachika kabisa.
 
D
Dada,tuandae semina ya wanandoa😅😅😅😅😅😅maana shetani yupo kazini Sana kuharibu hiyo taasisi, imagine mtu anapata mwanaume mwaminifu ,anampenda Ila anaanza kuchokonoa yeye mwenyewe halafu baadae amlaumu..

Kwakweli kuna umuhimu wa seminar

Wanawake tunatakiwa kutambua mwanaume kukuchagua wewe na kukuoa ni upendo, mwanaume kukuheshimu ni neema maana wengi wanapewa kila kitu ila heshma ya ndoa hamna. Wanaume nao ni binadamu tena wakati mwingine binadamu watoto, bila hekima wanaharibika haraka mnoo.

Sasa huyu mwenzetu badala ya kutumia muda wake kumshukuru Mungu kwaajili ya mume na ndoa yake anautumia kujenga account fake mitandaoni na kusajili namba feki ili amtege mumewe🤣

Jameni😂
 
Yani Sisi Wanaume Tulivyo umbwa na Mnyazi MUNGU Kwamba Kutulia Sehemu Moja Ni Shida Mwiko Ndo Maana Mfalme Sulemani alioa wanawake 400 Michepuko 300 Sasa Jiulize aliwaweza Wote Basi Shida hii Ndo Ipo mpka Kesho Ushauri Usimchunguze Sanaa Mwanaume Wee Akikisha Unapata Mahitaji Yote na Wanao
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?

Dah, mpaka kakusingizia kifo? Huyo haya siye wanaume tunamkana, ni mume mwenye vinasaba vya kishetani.

Namna mbaya sana ya kupima Upendo wake, kuna wanaume waaminifu, sana sana hawatoki nje, ila umeenda mbali sana.

Unachokitafuta ukipate ni nini? Uyo ni muhuni sana tu, na kutotoa hela ni kuogopa kutapeliwa, angeona mwanamke mzuri angetoa hela zote.
 
Kwakweli kuna umuhimu wa seminar

Wanawake tunatakiwa kutambua mwanaume kukuchagua wewe na kukuoa ni upendo, mwanaume kukuheshimu ni neema maana wengi wanapewa kila kitu ila heshma ya ndoa hamna. Wanaume nao ni binadamu tena wakati mwingine binadamu watoto, bila hekima wanaharibika haraka mnoo.

Sasa huyu mwenzetu badala ya kutumia muda wake kumshukuru Mungu kwaajili ya mume na ndoa yake anautumia kujenga account fake mitandaoni na kusajili namba feki ili amtege mumewe🤣

Jameni😂
Kukuchagua ni upendo,kukuheshimu ni baraka!

Asante,atajifunza jambo hapa
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Wife mbona mimi nilikustukia huu mchezo wako mapema, na kuchora tu unachotafuta utapata bby.

Nitakuacha kweli mke wangu Mtuache
 
Umeolewa na Mwanaume miaka .8
Jumlisha miaka. 3 ya Ndoa means mna miaka 11 pamoja.
Miezi 2 ilopita ndo ukaamua umpime kama anakupenda.... Sasa huu si ni Upuuzi huu!

Halafu mwishoni unasema Anahudumia familia na Upendo wake uko Vilevile toka mwanzo...

Unatufanya wote hatuna akili, by the way huu mwandiko ni wa Mwanamke anayetafuta Bwana mpya JF.

Malaya aliyejificha kwenye kivuli cha Ndoa.

Nyie mdo mnawafanya Wanawake wote waonekane wa ovyo.
 
Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa
emoji706.png
emoji706.png
Mboga una generalize wanaume wote?. Mbwa ni huyo wako.
 
Unataka kufa tu hata kama kifo hakipo karibu na ww
 
Back
Top Bottom