Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Kwanza sisi wanaume hata tuwe wazee kutongoza hua ni utaratibu wetu, sasa endelea hivo hivo unachotaka utakipata, tulia linda ndoa yako, mwanamke ndio mmiliki wa ndoa wenzako wanaume hua hatumiliki ndoa kazi yetu ni kuanzisha ndoa halafu tunamkabidhi mwanamke aimiliki sasa kama umechoka achana nayo, yeye ataenda kuanzisha nyingine ndoa na atampa umiliki mwingine,
Mkuu basi umemaliza huu mjadala,

Tulioa tujipige kifuani afu tupate K VANT ya kuzimua (maele ele)
 
Women will do anything to cry
Hivi angekuwa ni mwanaume amesimulia kumtega hivyo mke wake mngesema hivi? Mimi ni mwanaume lakini hii thread imeonyesha jinsi wanawake wasivyo na haki kwenye ndoa. Hivi huyo mwanaume aliyetegwa hamuoni ni mhuni na imeonyesha kuwa huwa anachepuka na hampendi mke wake kama anavyodai? Kama unampenda mke wako utachepuka?
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
MwanaKULIFAINDI. Achana na huo ujinga
 
Futa hiyo account fake endelea na maisha! Mwisho,usipoteze muda kumfuatilia mmeo utapata shida.
 
Hii thread imenifundisha mengi. Kumbe mfumo dume Afrika ni janga. Angekuwa ni ni mwanamme amemtega hivyo mke wake hapa huyo mwanamke angetukanwa matusi yote na kuitwa changudoa.
Hapo mfumo dume uko wapi? Au mihemuko Yako tu
 
We koma we, mbwa mumeo 😂🤣

Huyo ni mjuba, legend kabisa, hahongi hovyo, leta mbusus nikupe chako, hutaki kila mtu akae na chake...

Wanaume kuna nyakati hatuchiti labda wake zetu wabaya ama hatuwapendi huwa inatokea tu, wakati mwingine kuchapa ni heshima, vile unamchapa wife anaugulia unasikia stori kuwa kuna tatizo la nguvu za kiume, unachapa kuheshimisha wanaume wenzio
Wakati mwingine ni tamaa tu, tumeumbwa hivyo, mwanaume ni kwa wanawake wengi, basi tu sie wengine tunajikaza kaza tusichepuke chepuke, lakini tamaa huwa ipo asikwambie mtu.

Naweza kumuinamisha mtu ukutani, nikarudi home upendo upo pale pale, na wengine unazidi.
 
Ushauri wangu, delete kabisa hiyo account na acha kutafuta miguu ya Nyoka.
Siku akijua 100% kuwa ni wewe; utajutia maisha yako yote kwani upendo wooote utaisha na ujue wanaume hawafuti kitu rohoni haraka kama wanawake hivyo usije ukafikkiri utarudi ndani ya mwaka......
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea Kuna vitu vya kupima na vingine vinajipima vyenyewe usilazimishe, kiufupi aliiyamani hiyo shape tu uliyisema basi na nikuambie TU hakuna mwanaume ataruka hicho kiunzi, na kwa akili yako ulitaka aseme ameoa ana mke ungemkubalia?? Hakuna mwanaume mjinga wa hivyo, usipoacha hiyo tabia unalolifutaa utalipata
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Mmmh mbona unacheza michezo hatari hivi achana na hayo mambo dada utakuja jutoa bure
 
Sema wanawake nasi saa nyingine matatizo huwa tunayatafuta wenyewe haki ya nani, kwanza una mamlaka gani ya kumjaribu mtu, binti hebu acha kuwa mwehu wewe
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?

Kuwa makini na acha mara moja, hujui wanaume vyema, atakugeuzia kibao, atakwambia ulikuwa unatafuta wamaume wengine, na nilijua tu ni wewe, sasa wewe ndo utaeleza tabia za kuwasiliana na wanaume instagram umeanza lini?
 
Whoever woman tries to test her man's royality, atakipata anachokitafuta.
 
Duuh! Ila uliamua na wewe.

Sema nini kama unayapenda mahusiano yako achana na mambo. Kwani siku zote hakuna mkamilifu.
 
Back
Top Bottom