Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Nilisha kushtukia kitambo sana coz uandishi wako naujua na style yako ya uulizaji maswali,
Zile hela ulizokua unaniomba kwa ID fake nilikua nakupa ukiwa home kwenye uhalisia,

Leo usichelewe kurudi home kuna zawadi nimekuandalia.
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Imeandikwa.... Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe
 
Mwanaume anaejiamin na kujua uchumi n nn hatumi ela ovyo ovyo kwa stranger wew mpe Rafk yako mzur akishakutana nae ndio ata mkula
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Wewe ni mwanamke mpumbavu, na utaibomoa nyumba yako kwa upumbavu wako mwenyewe.

Wewe ujiigize kama malaya alafu umuita mumeo mbwa, hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani.

Unataka upendwe vipi tena? Hovyo kabisa.
 
Yaani wanawake hufanya kila liwezekanalo ili tu walie.

Kukiwa na utulivu mwanamke atataka tu alie.

Mtu anampenda, anamjali, anamhudumia na kila kitu lakini mwananmke hajaridhika anataka tu alie.

Mwanamke inatakiwa since day one umemuoa, akujue kwama wewe ni mtu wa matukio tu ili akili imkae sawa mapema.

Mwanaume umekaa kindezi ndezi hivi haya ndio matokeo yake.
Kweli kabisa,
wanawake wanapenda mchakamchaka
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Daaah tuishi na Hawa viumbe Kwa akili Yaani mwanamke umuwekee mitego mwanaume halafu utegemee Nini? Shetani sio lazima aje na sura ya kutosha kumbuka shetani alikuwa malaika! Nakuona unavyopenda kuwa single mother
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?

Usirudie tena kufanya huu michezo uliofanya
Yaani unamtega mwanaume halafu unamlaumu.!? Kemea huyo shetani anayekutumia... yaani unatumikakuondoa imani na upendo wako kwa mumeo.
Ingia kwenye maombi kwa imani yako, fanya toba, jisamehe kisha ongeza upendo kwa mumeo.
Tena akijua umemtrick hivyo anaweza kuchukia na kuanza uzinzi wa mwendokasi
 
Endelea tu mkuu mimi nasema hivi mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Halafu unakuja kusema wanaume ni mbwa nasikitika kusema aliyekuoa apige maombi sana
 
Usirudie tena kufanya huu michezo uliofanya
Yaani unamtega mwanaume halafu unamlaumu.!? Kemea huyo shetani anayekutumia... yaani unatumikakuondoa imani na upendo wako kwa mumeo.
Ingia kwenye maombi kwa imani yako, fanya toba, jisamehe kisha ongeza upendo kwa mumeo.
Tena akijua umemtrick hivyo anaweza kuchukia na kuanza uzinzi wa mwendokasi
Afadhali aisee mwanamke mwenzake umemuambia[emoji23] kichwa kilikua kimevimba[emoji23]
 
Nyoka kashamuingia huyu mwenzetu ili amuingize mume kwenye jaribu

Hivi kweli unaweza kuweka pipi kwenye schoolbag ya mwanao halafu unalalamika kwanini amezila!? Eti mume ananisaliti🙄🙄

Hebu tuwapumzishe wanaume jameni
 
Ukimchunguza bata humli.

Fata yako, mradi unaishi vizuri usitake kujuwa mwenzako anafanya yepi nje mradi unaelewa anakwenda kwenye shughuli zake za halali.

Amrishaneni mema na mkatazane maovu kistaha.

Msifanyiane ujasusi, kufanyiana ujasusi ni dhambi.
Asante dada Faiza
 
Back
Top Bottom