Mtuache
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 260
- 712
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.
I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.
To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.
Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.
Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.
Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.
Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.
Tukaanza chart whatsapp.
Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]
Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.
Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.
Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?