Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe.

Wewe NI MPUMBAVU, umeshavunja nyumba yako.

Eti umempima? Ningekuwa mimi yeye, NINGEFANYA KWELI na nimlete huyo mbele yako (maana ndicho ulichokitaka)
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Mke MPUMBAVU huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Ongeza ubunifu ianguke yote.
 
Miaka 8 yote ya uchumba hujamjaribu, unakuja kumjaribu baada ya ndoa, dah kweli wanaume tuna mitihani
Hahahahahaha angemjaribu kwenye uchumba, hiyoo ndoa isingekuwepo jamaa angeona kumbe nna deal na kahabaa
 
Itakuwa ameshakugundua kupitia mwandiko wako.
 
Wanawake mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe mwanaume kama anakujali na kukupenda na kukuheshimu basi inatosha hakuna haja ya kujua kama ana kupenda kweli au lah amini tu siku akijua ni wewe mkewe hyo ndoa haitadumu hata kidogo mtaachana tu coz ataamini huna imani nae
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Niliwai tongoza mambo yaka tiki piga sana touch + kiss sanaa ila mm ni monster 💀💩 sijawai saliti Ndoa Huwa naogopa sana.....

Sometimes wanaume uwa fuata wanawake for pleasure bare in mind.......
 
Idiot
 
Hahaha
 
We mwanamke huna akili umekaa Kama lichawachawa tu!,badala ukae chini utulie na ndoa yako unaanza kutafuta mtu ubaya.. unastahili kupigwa mabanzi ya kwenye shingo
Naunga mikono hoja mkuu ujue mwanamke yeyote akiona Kuna amani nyumbani huwa haridhiki lazima aanzishe chokochoko, wewe mahitaji unapewa, upendo unapata miaka kumi na nane, Tena unaleta umaandazi hapa, endelea TU kumjaribu, na kama anapenda matako makubwa huko nnje Kuna wanao toa acha kuyatikisa!
 
Back
Top Bottom