Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so aikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa[emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa: kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Nenda mpatie mbunye akudinye upande wa mchepuko upate pesa mara mbili kama utaweza pasipo yekugundua basi utakua mjanja nahiyo haiwezekani
 
Usimjaribu ehe mungu wako bure imeandikwa na ujue huyo si bwege ndio maana hatoi hela kizembe
 
Sentensi ya mwisho ndio jibu 😊😊
 
Kwanza sisi wanaume hata tuwe wazee kutongoza hua ni utaratibu wetu, sasa endelea hivo hivo unachotaka utakipata, tulia linda ndoa yako, mwanamke ndio mmiliki wa ndoa wenzako wanaume hua hatumiliki ndoa kazi yetu ni kuanzisha ndoa halafu tunamkabidhi mwanamke aimiliki sasa kama umechoka achana nayo, yeye ataenda kuanzisha nyingine ndoa na atampa umiliki mwingine,
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so aikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa[emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa: kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Pole. Hivi kuna mwanaume ana mwanamke mmoja kweli?
 
Hauna kilio msiba wa kujitakia! Katika wanaume 10 ni mmoja tu ambaye hatanasa ktk mtego wa hivyo! huyo mmoja mwenyewe lazima kuna sababu nyuma yake! Huu mtego hata babaako ukimuwekea atajaa tu!

Ila akijakujua unayoyafanya jua kwamba utafungua ukurasa mpya wa ndoa yako!!

Sisi washauri tupo, na tunajifunza kupitia ndoa yako! Endelea tu.
 
823F0586-1181-4BBA-BEFD-8BAAB265FEC5.jpeg
 
Ukimchunguza bata humli.

Fata yako, mradi unaishi vizuri usitake kujuwa mwenzako anafanya yepi nje, mradi unaelewa anakwenda kwenye shughuli zake za halali.

Amrishaneni mema na mkatazane maovu kistaha.

Msifanyiane ujasusi, kufanyiana ujasusi ni dhambi.
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa [emoji706][emoji706]

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Sisi wanaume n mambwa sawa,na nyie tuwaiteje?mtu kakupenda mpaka kakuoa na bdo huamini,dawa yako ni kukucheat na ujue.
 
Back
Top Bottom