Mr Kipago
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 597
- 622
Jana kuna mwanaume nilimuona alikuwa na mke wake kwenye gari yao ya nyumbani uzuri nilikuwa na mpenzi wangu walivyokuwa wanaongea hadi laazizi alisikitika sana. Kuna watu wameoa wanawake acha tu, ndiyo sababu wanaume watazidi kufa kwa magonjwa ya moyo nilimuonea huruma yule jamaa nikahisi maumivu anayoyapata.
Jamaa akapoa akalaza kichwa kwenye usukani huku akitikisa kichwa nadhani alikuwa analia, tuishi nao kwa akili huyo jamaa kakupenda na kukuonyesha mapenzi ukataka kumkalia sasa anataka umuogope hana shida ni wasi wasi wako tu.
Usipoishi na mwanamke kwa akili utapata tabu sana though mpenzi wangu anajua kwake nimekwika haswaaa.