Nilifikiri Mimi tu Mwenye tabia kumbe tupo wengi, tatizo lenu tukishawaoa mnavimba kichwa na hutokana pale mnapokuwa mmejenga ote, kwaiyo mume anajua akikuacha mtagawana mali, kwaiyo bora akupotezee kupunguza hasira kwa makosa uliomtendea, na hii hata kama kosa likiwa dogo kwake huwa kubwa,
ANGALIZO, pamoja na kununa kwa mda wa miezi yote hio lkn usisubutu kumsaliti akajua hiyo shingo yako itakuwa halali yake, maana ya kisilani hicho ni wivu,
Ili kuizibiti hiyo hali hakikisha unakuwa mkweli kwake kwa kila jambo na usiwahi kumpandishia sauti, muoneshe kuwa unampenda saana, mtumie SMS za mapenzi kila wakati, angalia nguo gani anaipenda kuivaa sana uhakikishe inakuwa safi mala tu anapoivua ichukue na uifue...... Itaendelea