Kutoa papuchi kwa uhakika na kwa wanawake wenye kisirani dawa nihiyohiyo hakikisha anafika kileleni asubuhi shikamoo kibaoJamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo mpaka siku ataamua kuacha kununa ndo mtaendelea kuongea.
Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri niishije na Mtu wa namna hii
Acha kumkosea ss we ulishaona MTU anayependa kukosewa?Nina mashaka hata ww unapomkosea huwa unakuwa nunda yaani akiweka ugoko we unaweka chuma hapo ndo shida.Kama umeshamsoma vizuri epuka kumkasirisha na kumkosea pasipo ulazima,na unapogundua ww ndiye mwenye makosa kujishusha sio ujinga ila yote haya ni kama tu unampenda ila kama mmechokana mie Simooo.No Comment.Jamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo mpaka siku ataamua kuacha kununa ndo mtaendelea kuongea.
Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri niishije na Mtu wa namna hii
HakujibuPole sana mama la mama. Japokuwa napata maswali yaso na majibu inamaana miezi sita yote anayokuwa kanuna unashindwa kumsemesha na kujua tatizo ni nini?
Hapo kosa sio la mmoja hata wewe mama la mama inatakiwa ujue namna ya kuishi na huyo mumeo mwenye gubu na sio kuyaacha hayo yote yatokeee.
Kanuna leo kesho muulize nini tatizo ili kama linatatulika mlitatuwe na sio kusubiri miezi halafu mwisho wa siku bado mnakaa chini yanakwisha.
Kanda maalumu nini maana hao wanatabia hizo halafu wale waliolelewa na mama zao ingali baba zao wapo hai wanahangaika na michepuko ndiyo tabia zao jinsi baba zao walivyokuwa wakiwasumbua mama zao nao hasira huishia kwa wake zao hawashauriki kqbisaNina ndugu yangu ana hilo tatizo, yani namhurumia my wife wake. Wanaweza kukaa six months jamaa limenuna hata kusalimiana na my wife wake tu ni shida.
Huo ni ugonjwa mbaya sana katika saikolojia ya binadamu na mara nyingi watu wa hivyo hawabadiliki. How on earth ukae na dude rohoni kwa miezi sita?
Naye ni binadamu kinachofuata hapo ni utumwa hata akifanya wrong basi kaa kimya kisa atanuna mmmmmPole sana mkuu mumeo ni jamii ya watu ambao wapo straight muda wote yani wapo serious!
Utani utani hawana na ukiwaletea ujinga kidogo mnaweza gombana kabisa!
Sasa suluhisho hapo kuwa right muda wote na hayo makosa madogo madogo hakikisha hayatokei.
So baada ya kumsoma unaweza mtreat vzuri...
Ukisema yeye afate vimakosa vyako hiyo ni ngumu...
Inaelekea we ni mzembe maana umeleta hii mada hapa kuungwa mkono wa vimambo vyako hivyo...
You must change to in order meet the needs and requirements of your husband!
Jamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo mpaka siku ataamua kuacha kununa ndo mtaendelea kuongea.
Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri niishije na Mtu wa namna hii
Huenda anadalili za ukichaaUkute na yeye ana mme wake kazoea kumnunia ili abembelezwe mi najua wanawake ndio tunanunanuna ila sio kwa miezi sita,Shoga angu mchunguze vizuri.
sio bureAtakuwa anajihami anamichepuko huko yakuongea nayoAtakua ndo huyo huyo
Huwa wanasusa kila kitu unazani ni kununa tu kuongea mpaka papuchi hununiwa mkuuKutoa papuchi kwa uhakika na kwa wanawake wenye kisirani dawa nihiyohiyo hakikisha anafika kileleni asubuhi shikamoo kibao
Hao kinamama kiukweli huko kuzibuliwa vibao ndiko wanahitaji haswa. Lakini mwanaume mwenye busara na una shughuli zako za kukuingizia kipato usihangaike kumzibua vibao mwanamke maana utaibua kesi za polisi, ambazo zitachukua muda wako mwingi la muhimu mwanaume fanya yafuatayo;Huyo mumeo nae mjinga...mwanaume unanuna nini alipaswa akuzibue makofi ukileta usenge ...mpk unyooke...kununa sio tabia ya kiume bora angekuwa anakuzibua,ulete uzi wa kubutuliwa kuliko kununiwa
Good advicePole sana mkuu mumeo ni jamii ya watu ambao wapo straight muda wote yani wapo serious!
Utani utani hawana na ukiwaletea ujinga kidogo mnaweza gombana kabisa!
Sasa suluhisho hapo kuwa right muda wote na hayo makosa madogo madogo hakikisha hayatokei.
So baada ya kumsoma unaweza mtreat vzuri...
Ukisema yeye afate vimakosa vyako hiyo ni ngumu...
Inaelekea we ni mzembe maana umeleta hii mada hapa kuungwa mkono wa vimambo vyako hivyo...
You must change to in order meet the needs and requirements of your husband!