Mume wangu ana kisirani

Mume wangu ana kisirani

Miez 6 kanuna na mnalala kitanda kimoja? Ka hvo ndo ilivo basi wote mna mattzo
 
Jamani mume wangu anakisirani yani ukimkosea kitu kidogo tu anaweza kununa hata miezi sita, hatakula nyumbani, atakublock kwenye mitandao ya kijamii yote na hakuna kitu kitaendelea cha maendeleo mpaka siku ataamua kuacha kununa ndo mtaendelea kuongea.

Yani hii tabia yake nahisi kuichoka natamani mnishauri niishije na Mtu wa namna hii
Unahitajika darasa ya mapenzi miezi mi tatu hata kama angekuwa ananuna vipi mbona utammudu tu huyo wako ni njuka hana kisirani kabisa labda wewe
 
Jiepushe kumkosea kwani unamjua vizuri sana,na jishushe na omba msamaha pale unapokosea ili muendeleze amani. Usipende kushindana na mmeo kwa hoja au vitendo kua mke.
 
Unamkosea huombi msamaha .
Tufanye umegundua amenuna ukajibebisha eg." Baby wangu mbona umeuchuna ivo jamani nisamehe basi kama numekosea nieleweshe vizuri " halafu unambusu na kumpapasa hata kama kauzu kiasi gani hawezi kukaza tatizonataka mbembelezwe nyie tu we akinuna mfanye kama Mtoto mdogo hivi utaona analainika nakuanza kukueleza matatizo yako yoote inawezekana kuna vitu vingi vidogovidogo huvijali AF unakauli za kumkwaza huko kununa anakupa mda wa kuomba msamaha hata kama hujakosa we omba msamaha ndoa ni chuo cha msamaha.
 
Back
Top Bottom