mama la mama3
Member
- Feb 19, 2018
- 11
- 8
- Thread starter
- #21
AsanteSasa hapo kazi ni kwako kuchagua kusuka au kunyoa. wewe ndie unayepambana na hizo kero za kununiwa na zitakufanya usiwe huru hata kumhoji yuko wapi akichelewa kurudi hom hata akiongea na simu kiutata hutakiwi kuhoji. Maisha yasiyo na raha kila baada ya siku chache kununiana. Fikiria hayo ndio maisha yako hadi unaingia shimoni... once again...pole inakuhusu.
