Mume wangu 'aki-cheat' nafurahi sana

Mume wangu 'aki-cheat' nafurahi sana

Unaeza uka wapiga fix madogo ila uwepo wa baba kisaikolojia kwenye makuzi ni muhimu. Mfano kuna matukio ambayo watoto wana tegemea family ikamilike, kama siku kuu na sherehe achilia mbali mitoko au kuwapeleka kucheza, mfano watoto wakike wana penda sana kucheza na baba zao.
Bana weh..nitaplay sehemu zote
 
KWENYE NDOA MIAKA 18, CHUKULIA WALIOANA NA MIAKA 18, KWAHYO 18+18=36, KIUFUPI MIAKA KAMA 40 HIVI HUYO MAMA, WALA SIENDELEI.
 
Kuna jamaa alishafanyiwa hivyo,akagundua akapelekwa kwa mtaalamu akamtibu alipoenda nyumbani ili kumuonyesha utaalamu wa nzi , wa ukijua ya mbele sisi tunajua ya nyuma akamgonga mdogo mtu kama kutuma salamu vile
Ahahahaha safi sana
 
Hii una maanisha kweli!! sasa akikaa miezi harafu akirudi si ndiyo kukuletea magonjwa. Halafu pesa peke yake hazitoshi, family inabidi iwe ya baba na mama, baba kama yupo hai harafu watoto hawamuoni nyumbani ina madhara kwa ukuaji wao
Mwambie huyo
Hajajua kwanini Darasa kaimba hasara roho pesa makaratasi
Asingeolewa basi
 
Unaeza uka wapiga fix madogo ila uwepo wa baba kisaikolojia kwenye makuzi ni muhimu. Mfano kuna matukio ambayo watoto wana tegemea family ikamilike, kama siku kuu na sherehe achilia mbali mitoko au kuwapeleka kucheza, mfano watoto wakike wana penda sana kucheza na baba zao.
Ndio hawa singo maza wanajifanya wana midomo
Wakija kukuza wanaishia kuwa madanga
 
Back
Top Bottom