yna12
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,936
- 2,318
Ila kuna ndoa nyngne ngumu jaman..yani ukiona mtu kaamua liwalo na liwe..uende ubaki urudi usirudi shauri yako..ujue hyo mtu kavumilie mengi..sasa anachokiangalia kwa wakati ule ni watoto tuHahaa.. siyo rahisi kihivyo mkuu, ndiyo maana ata kwenye kuwa leta duniani huwezi wewe uka play part zote lazima tushurikiane me na ke.