Mume wangu 'aki-cheat' nafurahi sana

Mume wangu 'aki-cheat' nafurahi sana

Na watoto wa siku hizi walivyo wanapenda kujaribu mambo sasa, kama nawaona vile [emoji12]
 
Akiwa hivi hata akicheat ni sawa kwani ukimuangalia mashine inalaa
dada zegembe.jpg
dada zetu.jpg
 
Naiba shahawaaa zake nazifunga kwenye kitambaa cheupe naficha akienda popote mkuyenge hausimami
Kuna jamaa alishafanyiwa hivyo,akagundua akapelekwa kwa mtaalamu akamtibu alipoenda nyumbani ili kumuonyesha utaalamu wa nzi , wa ukijua ya mbele sisi tunajua ya nyuma akamgonga mdogo mtu kama kutuma salamu vile
 
Acheat tu..ili mtadi anajali familia..acheat hata asirudi home akae uko miezi..ila atume tu pesa ya matumizi basi
Hii una maanisha kweli!! sasa akikaa miezi harafu akirudi si ndiyo kukuletea magonjwa. Halafu pesa peke yake hazitoshi, family inabidi iwe ya baba na mama, baba kama yupo hai harafu watoto hawamuoni nyumbani ina madhara kwa ukuaji wao
 
Hao watoto ntajua nitawaeleza nini...akishajisikia kurudi tutaenda kupima
 
Hao watoto ntajua nitawaeleza nini...akishajisikia kurudi tutaenda kupima
Unaeza uka wapiga fix madogo ila uwepo wa baba kisaikolojia kwenye makuzi ni muhimu. Mfano kuna matukio ambayo watoto wana tegemea family ikamilike, kama siku kuu na sherehe achilia mbali mitoko au kuwapeleka kucheza, mfano watoto wakike wana penda sana kucheza na baba zao.
 
Back
Top Bottom