yna12
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,936
- 2,318
Ujinga wangu uko wapi??we kuku kweli sasa mtu anajisikia kucheat na wengne wananogewa uko..presha za nn? Namuacha acheat..We kweli jingas
Ujinga wangu uko wapi??we kuku kweli sasa mtu anajisikia kucheat na wengne wananogewa uko..presha za nn? Namuacha acheat..We kweli jingas
Ujinga ni kutaka mume aende huko miezi yoteUjinga wangu uko wapi??we kuku kweli sasa mtu anajisikia kucheat na wengne wananogewa uko..presha za nn? Namuacha acheat..
[emoji3][emoji3] ilo lako atiiNdio hawa singo maza wanajifanya wana midomo
Wakija kukuza wanaishia kuwa madanga
We cyprian maige upo? !Teh teh
Kwani mimi singo maza?![emoji3][emoji3] ilo lako atii
Vijana buanaa wanang'ang'ania ndoa tuu kuihandle hawaweziusiombeeee best.....ma
hahaahahahahaa......pole
Hahahahaahpepo punda...hatari?
unaimili laknHahahahaah
Punda taaamuu
Kukimbizana siweziUjinga ni kutaka mume aende huko miezi yote
Kweli kiakili wewe bado
Kama bado haujaolewa Mungu akuweke bench Kwanzaa mpaka akili yako ikomae
HongeraKwani mimi singo maza?!
Mimi nina ndoa mwaka wa 20 sasa namshukuru Mungu bibi wa wajukuu 3
Nlikuwa naenda kwake Nakaa cku mbili tatu, Baadae nikawa naurafiki na mdada jiran yake ndo akanipaga umbea kuwa Cko mwenyeweilitokeaje?, ulikuwa ukitafuta uhakika?, ama ilikuwa supprise?
Sio tu kuhimiliunaimili lakn
Asante bossHongera
Ingekuwa ni wewe ningeenda kuwasalimia nimpe hongera bimdogo kwa kukutunzia na kuifanya ndoa yenu idumuNlikuwa naenda kwake Nakaa cku mbili tatu, Baadae nikawa naurafiki na mdada jiran yake ndo akanipaga umbea kuwa Cko mwenyewe
Nika mwambia mke mwenzangu akija unishtue
Cku ya cku nikaambiwa Njoo buanaa mwenzio yupo leo
Nikafika nikawakuta wametoka kuoga, mlango wenyewe waliacha wazi hawakua hata na wacwac
Ikabid nijiondokee tu cku taka kuwaharibia cku
Sijaelewa ulichoandikaakifa vip itabidi utafute wawili au?maana dah??[emoji180] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ndoa si mchezo.....uwe na uelewa na huyu mwenza wako wote mjielewe.....sio kukimbilia utamu tuu...Vijana buanaa wanang'ang'ania ndoa tuu kuihandle hawawezi
huyo jamaa akifa nani wa kulava nafasi yakeSijaelewa ulichoandika
Hahaa.. siyo rahisi kihivyo mkuu, ndiyo maana ata kwenye kuwa leta duniani huwezi wewe uka play part zote lazima tushurikiane me na ke.Bana weh..nitaplay sehemu zote