ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Nipe soda bariiiiid
Au kahawa shost
Ule umbea wa watu kumegwa heeee
Mbona ulikuwa balaaa watu wanachungulia na kuondoka
Last edited by a moderator:
Nipe soda bariiiiid
Au kahawa shost
Ule umbea wa watu kumegwa heeee
Mbona ulikuwa balaaa watu wanachungulia na kuondoka
Abiria chunga mzigo wako!
Jamanii hebu nitupiemo pm mi umbea unaniwasha shostiii maana majina yao nimeyatunza kwenye notebook aisee mengine
Mh! Sijui tuwafiche wapi awa waume zetu kama mabinti ndo wamekenguka ivo.
Best na mimi nipm hayo ya kwenye notibukuu....jana pamoja na kushokilia uzi mwanzo mwisho hatujaambulia kitu....
mapenzini tu.
Mapenzini tu.
Single anajulikana tu!! Hata adanganye vipi utamwona kwenye kutoa huduma hadi uombeee weeeee wakati aliepo kwenye majukum anajua wajibu wakeNa wewe kazi unayo,uko busy kweli kutafiti mahusiano ...........lolKwa matokeo haya ya utafiti huu basi nyie single mkitongoza mseme mmeoa ili kujiongezea points!!!!
Kumbe!
Yaan hata hukuniita jamaniii nikapitwaaaaaa
Vp mkuu usishangae sana haikuwa dhamila yangu ila Yeye ndo alitaka iwe ivyo baada ya kuwa na Matatizo kwenye ndoa Yake akaitaji pumziko la roho yake ili apunguze stress.