"Mume wa mtu mtamu bana" ...

"Mume wa mtu mtamu bana" ...

Kaka minadhani tathmini yako haiko sahihi sana. Ukifanya utafiti wa kina utagundua kuwa wasichana wanaosema hivyo mara nyingi huwa hawana mwanaume mmoja, ndio maana hawataki commitment ya aina yoyote kwa mwanaume. Maana kama suala ni kutunzwa, hivi kwa maisha ya sasa nani mwenye uwezo wa kutunza mchepuko kwa asilimia 100 wakati huo atakuwa na watoto wanasoma pengine shule za pesa mbaya. Tunadanganywa tu na hawa madada ili watuchune vizuri. Kumbuka mchepiko mmoja unazaa na mwingine na mwingine

Mkuu umeandika kilekile nlichokuwa nakifikiria....kula malike ya kutosha
 
Aiseee.. I beg to differ....mimi mwenzenu nina wivu wa hatariii..nataka kilicho changu kiwe changu haswaaa...kama kuna mtu anaiba na aibe hukooo ambako macho yangu hayafiki. Yani naona tabu ile jufikiria kwamba yule nimpendae yupo na mtu mwingine anamfanyia kama anavyonifanyia mimi loh...it kills me.
 
Mtamuuu anajua kuhudumia yan we unasema tu baby natakaa hikii anakwambia mm subiri ule mkopo wangu baby ntakununulia hahahahaha. mbioooooo simooooooo
 
Wasiojua thamani ya mili yao ndiyo huigeuza kama kitega uchumi

Mabinti wanashindwa kujishughulisha wajipatie kipato kazi yao imekuwa kuvizia waume za watu.

Hiki ndicho chanzo kikubwa cha migogoro katika familia.

Wakati anamchukua mume wa mtu leo na kusema ni mtamu anajisahau na yeye ipo siku ataingia katika ndoa, atafanyiwa hayo hayo.

Sipendi mtu anaetembea na mume/ mke wa mtu.And it becomes worse niskie kazaa nae.
 
Aiseee.. I beg to differ....mimi mwenzenu nina wivu wa hatariii..nataka kilicho changu kiwe changu haswaaa...kama kuna mtu anaiba na aibe hukooo ambako macho yangu hayafiki. Yani naona tabu ile jufikiria kwamba yule nimpendae yupo na mtu mwingine anamfanyia kama anavyonifanyia mimi loh...it kills me.

Acha tu usiseme.Kuibiwa kunauma kuliko mshono.
 
binadamu ana vijambo sana

ni mara nyingi sana nimekuwa nikiwasikia vijana wakilalamika kuwa mabinti siku hizi hawawataki vijana na wamekuwa wakitoka na watu wazima au kama ni kijana basi wanahakikisha kuwa kijana huyo ana mke

nimewahi kufanya mazungumzo na vijana wengi tu na malalamiko haya mara nyingi hutolewa na vijana ambao hawajaoa,hili kidogo lilinistaajabisha na kujiuliza sana maswali kadhaa

nikasema inamaana sisi ambao hatujaoa "hatuuziki" tena kwa akina dada hadi tuoe?

Sikuamini hadi nilipofanya ka utafiti kadogo kwa wadada kadhaa

majibu niliyoyapata kutoka kwa hawa wadada yalinistua sana,kati ya mabinti niliowauliza kuhusiana na hili mmoja tu ndio alikana kutoka na wanaume ambao wapo kwenye ndoa na wengine wote walikubali na kunipa sababu kadhaa

kati ya sababu ambazo walinipa ni kuwa eti mume wa mtu anajua kutunza na anajua thamani ya mwanamke na matumizi,walidai kuwa vijana ambao hawajaoa wanakuwa na mambo mengi sana kama vile kujiimarisha kiuchumi na malego ya kuwa na familia hivyo mambo hayo husababisha wawe bahili sana

nilikuna kichwa ilipofikia hapo kwani niliona kama wananisema hivi ....

Wakaendelea kudai kuwa waliooa wenyewe wamechoshwa na wake zao na wanatafuta pumziko na mara nyingi wanakuwa wanajua mahitaji ya mwanamke kwasababu wanae nyumbani

kwa kifupi waliongea mengi sana na kufikia kuniambia eiyer,"mume wa mtu mtamu sana nyie mabachela mtasubiri sanaaaa"

kwa ufupi akina dada ndio wamekuwa na aina hii ya kuyatazama maisha siku hizi

kaazi kweli kweli ndugu zangu .....!!

mkuu awama binti aslili mia kubwa wana mapepo. Kikubwa ni kutokupenda kujishuigulisha. Kutwa kukicha ni kwa waganga wa kienyeji wawape dawa ya kumnasa mume wa mtu flani. Na kupenda kuishi maisha ya anasa bila kufanya kazi matokeo yake ni ukimwi tu. Kimsingi hawana malengo ya mbali au ndoto.
 
wanawake hamuna maendeleo hata kidogo mnajidhalilisha wenyewe mke wa raisi katembea na babu seya kikwete kamfunga bila sababu nyege zenu kuharibu maisha ya wanaume
 
wanawake hamuna maendeleo hata kidogo mnajidhalilisha wenyewe mke wa raisi katembea na babu seya kikwete kamfunga bila sababu nyege zenu kuharibu maisha ya wanaume

Mi hapa sijaona kabisaa
 
wanawake hamuna maendeleo hata kidogo mnajidhalilisha wenyewe mke wa raisi katembea na babu seya kikwete kamfunga bila sababu nyege zenu kuharibu maisha ya wanaume

Wanaume ndo mna maendeleo kutembea na waume za watu?
 
Mr.Gentlemen jana nilipitwaaa mpaka uzi umefungwaa lol watu wanamegwa mpaka wanabadili ID lol jaman mkiwamega muwapende tu lol mapenzi ya jamii banaaa na hizo party zenu jana nimepitwaa umbea mimii ICHANA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom