"Mume wa mtu mtamu bana" ...

"Mume wa mtu mtamu bana" ...

Kaka minadhani tathmini yako haiko sahihi sana. Ukifanya utafiti wa kina utagundua kuwa wasichana wanaosema hivyo mara nyingi huwa hawana mwanaume mmoja, ndio maana hawataki commitment ya aina yoyote kwa mwanaume. Maana kama suala ni kutunzwa, hivi kwa maisha ya sasa nani mwenye uwezo wa kutunza mchepuko kwa asilimia 100 wakati huo atakuwa na watoto wanasoma pengine shule za pesa mbaya. Tunadanganywa tu na hawa madada ili watuchune vizuri. Kumbuka mchepiko mmoja unazaa na mwingine na mwingine

Una mchepuko?
 
ama kweli Dunia imevaa bukta!,naona mambo haramu yanahalalishwa mchana kweupeee...!tusubiri matokeo!
 
Kaka minadhani tathmini yako haiko sahihi sana. Ukifanya utafiti wa kina utagundua kuwa wasichana wanaosema hivyo mara nyingi huwa hawana mwanaume mmoja, ndio maana hawataki commitment ya aina yoyote kwa mwanaume. Maana kama suala ni kutunzwa, hivi kwa maisha ya sasa nani mwenye uwezo wa kutunza mchepuko kwa asilimia 100 wakati huo atakuwa na watoto wanasoma pengine shule za pesa mbaya. Tunadanganywa tu na hawa madada ili watuchune vizuri. Kumbuka mchepiko mmoja unazaa na mwingine na mwingine

Mkuu ninachoongea ninakijua kabisa tena nina mifano ya kutosha,kuna dada alikuwa jirani yangu sehem nilipokuwa naishi alikuwa amepangishiwa chumba kabisa na mume wa mtu,alikuwa anajiheshimu yule mwanamke na sikuwah sikia au kuona akiwa na mwanaume mwingine na huyo mwanaume wake akija alikuwa hataki aondoke,mambo yako tofauti ndugu yangu wewe unapoona maisha magumu kwako na hauwezi kuhudumia familia mbili wenzako wanaweza,kuna wanawake wamejihalalishia kuwa nyumba ndogo
 
ni kweli, lakini kiasilimia wachuna mabuzi ni wengi kuliko wa aina hiyo unayosema
 
Na wakitaka kuolewa wanataka ambaye hajaoa! Wanawake huwa hawajielewi nini wanataka.!
 
Wasiojua thamani ya mili yao ndiyo huigeuza kama kitega uchumi

Mabinti wanashindwa kujishughulisha wajipatie kipato kazi yao imekuwa kuvizia waume za watu.

Hiki ndicho chanzo kikubwa cha migogoro katika familia.

Wakati anamchukua mume wa mtu leo na kusema ni mtamu anajisahau na yeye ipo siku ataingia katika ndoa, atafanyiwa hayo hayo.
 
Back
Top Bottom