"Mume wa mtu mtamu bana" ...

"Mume wa mtu mtamu bana" ...

Vp mkuu usishangae sana haikuwa dhamila yangu ila Yeye ndo alitaka iwe ivyo baada ya kuwa na Matatizo kwenye ndoa Yake akaitaji pumziko la roho yake ili apunguze stress.

Ikabidi umpe kitu roho inataka au siyo?
 
Wakati umeshatangaza umeoa! Save your energy!!!
Mie ni katika wachache wasiovutiwa na waume za watu!!!!!

Sasa si ndio maana nimeongeza pwenti ili nikupate?
Sasa ndio unanichenjia?
 
Back
Top Bottom