"Mume wa mtu mtamu bana" ...

"Mume wa mtu mtamu bana" ...

Katika mazungumzo yenu mliongelea chochote kuhusu UKIMWI na VVU? Nadhani ndo kitu cha msingi mngeanza nacho kabla ya kuongelea hayo ya kuparamia minazi ya watu!
 
Mume wa mtu anakuja msafi kashafuliwa na kupigiwa pasi alikotoka. Watoto wako huko kwa wife. Hakuna stress, mara pitia maziwa na unga wa uji on ur way home, mtoto kasumbua usiku na ma responsibilities kibao. Mume wa mtu na mchepuko wanakutana kula raha tu, ni bebi this, bebi that, hakuna stress wanaweza ku do mpaka jikoni! Baada ya hapo mwanaume anaacha hela off he goes. Wife anaonekana f.la hajui kumkeep mume, bi mdogo ndo kila kitu. Naomba nisitikane...
 
Back
Top Bottom