Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,090
- 165,243
Naona nitakuwa team n.k!
Mie ni team.....
Naona nitakuwa team n.k!
Mume wa mu mtamu kweli haswaa ukijua kumtumia
Bahti mbaya mie si katika wao!!Sasa si ndio maana nimeongeza pwenti ili nikupate?
Sasa ndio unanichenjia?
OLESAIDIMU njoo tumkamate uongo huyu "manzi"!Bahti mbaya mie si katika wao!!
Hebu nipe njia utakazotumia kunichunga ..!
OLESAIDIMU njoo tumkamate uongo huyu "manzi"!
Unamtumiaje kweli?
Nipe hata INTRO basi!
Unasema????
Walio wengi wananyanyaswa kimapenzi na waume zao!
Waliowengi hawatimiziwe mahitaji yao ya kimapenzi (wanabaki na njaa ya kimapenzi).
Waliowengi wakishakuwa na watoto hawaitwi tena "honey, babe, sweetheart, darling, mpenzi, n.k" Hapa ndiyo vijana wanatumia mwanya huu!
Mume akirudi kajichokea au ameshatembea nje, basi hana uwezo tena wa kutoa huduma kwa mke wake!
Wanawake walioolewa wanajua kutunza! (kwasababu anakaa na mume ana anajua mahitaji ya mwanaume).
Ni mengi siwezi kuandika hapa ila wengi wanayaongea hayo hapo juu!
PS. Wanawake wanahitaji vitu vidogovidogo sana ili kuchochea mapenzi. Si lazima umpe zawadi ya simu au gari. Kitu kidogo tu kinatosha hata pochi ya mia tano, leso, n.k.
Wadada ambao hamjaolewa mnahatari ya kusubiri sana!
Nenda muulize kijana "utaoa lini"? Atakujibu bado yupo yupo kwanza kuna mambo anayafuatilia -- ila umri unazidi kusonga! Wanapata huduma hao na matunzo tele. Hawaoni sababu ya kuoa!
Wanawake walioolewa ni wakarimu sana kwa "wapenzi wao", wanakuwa hawana sauti kabisaaaaa! Huwa hawabishi.
Good good na Mimi ni Mume wa mtu, tena mwanamke wa ......... naombeni mje huku nyie mabinti. Ila uje na cheti cha hospitali kinachoonyesha kuwa uko NEGATIVE
Kaka minadhani tathmini yako haiko sahihi sana. Ukifanya utafiti wa kina utagundua kuwa wasichana wanaosema hivyo mara nyingi huwa hawana mwanaume mmoja, ndio maana hawataki commitment ya aina yoyote kwa mwanaume. Maana kama suala ni kutunzwa, hivi kwa maisha ya sasa nani mwenye uwezo wa kutunza mchepuko kwa asilimia 100 wakati huo atakuwa na watoto wanasoma pengine shule za pesa mbaya. Tunadanganywa tu na hawa madada ili watuchune vizuri. Kumbuka mchepiko mmoja unazaa na mwingine na mwingineNa hapo ndo utajua kuwa mfumo wa mke mmoja hata wanawake wenyewe hawautaki wanataka kuwa wawili au watatu kwa mwanaume mmoja,kama mwanamke unajua kuwa huyu mwanaume ana mke bado unasema mtamu huoni huo utamu ameupata kwa mwanamke mwenzio? maana mwanaume huyo huyo kabla hajaoa si mtamu na akishaoa ni mtamu
Halafu wanaponishangaza ni hapa ameshajua una mke maana yake yeye ameridhia kuwa wa pembeni sasa kitendo cha kulazimisha kuwa na wewe muda wote wakati anajua unafamilia ni sawa na kulazimisha ucheze dk 90 wakat umewekwa kama reserve