Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

Kuna vitu vingine hata si vyakuomba ushauri,unaabisha wanawake wenzako,wanaume watuone punguani

Hata aiingii akilini,hivi kweli mlikuwa marafiki ukamtamkia unampenda akakuambia anamchumba,hamjawahi sex bado ukampenda hivyo hivyo

Wakati mi mwanaume akinijibu kama hivyo nashukuru kuujua ukweli kuwa ana mtu wake kupenda naacha hapohapo,nabaki kuheshimu mahusiano ya MTU,afu siwezi kushare huku najua.

Tuachane na hayo umeolewa mnaishi kwa amani,bado unatafutana na huyo rafiki mnarushiana picha za uchi serious??!!
Afu zikija kuvuja utasema shetani alikupitia,badilika unajua kuna mambo mengine hata shetani atawakana

So sad,namuonea huruma Huyo mume alokuweka ndani afu unakipiga picha kitumbua chake unamtumia mwanaume mwingine si ajabu Mr katoka kukishave mwenyewe ajionee kinavutia

Aisee ushauri wangu badilika,mapepo ya ngono na usaliti mnayataka wenyewe kwa kutokulidhika na mlivyo navyo siku vikipotea ndo mtajua thamani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Methali 14 : 1- 18

Screenshot_20190216-143837.jpg
Screenshot_20190216-143917.jpg

mwenye macho atazamae, mwenye masikio asikie
 
Habari za weekend wakuu
Nimekuja kwenu na I'd mpya maana naona mpaka aibu, kueleza na isitoshe nipo humu ndani Nina marafik najuana nao na mashemeji zangu pia wapo na tunajuana I'd.

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja muheza tanga alikua kikazi namm nilikua nipo pale kikazi tulikua marafiki SNA, nikajikuta nampenda SNA ila yy alikua na mahusiano yke.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda SNA akasema hata yeye anahisia na mm ila anamchumbaake anamsomesha so hawez kumuacha. Basi niliumia lakin nilimuelewa tukabak kuwa marafik

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr, ananipenda na wote tunahofu ya Mungu Hathaway kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa muheza nayy mwaka juzi akaoa, lakin ndoa yao haina Aman wanagombana kila Siku mwaka Jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengena Basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana PC mpaka za uchi nikajikuta nampenda SNA kuliko hata mume wangu, na hapo hatujawah kusex hata Siku moja.

Mwaka Jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa, coz hata mm pia Nina mume so sio big inshu akanuambia unajua nn V, tulia kwenye ndoa yko Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa aman acha mm nipambane na hali yangu, nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakin mumeo akija kuona chat zetu atakuua.

Niliumia nikamwambia okey lakin umeniteka akili yangu naumia SNA juu yako, nataman tukutane hata Siku moja tupeane raha alafu tuachane akasema sawa, ila mawasiliano na mm kapunguza anaogopa mm make wa MTU na mm nimeshadata kwake nifanyaje jaman.

Cjawah kuchepuka hata Siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuaje ananiamini SNA.

Yule jamaaangu wa muheza nampenda SNA tena SNA nayy Ananipenda lakin naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii chai mbona yamoto sasa alaf mbaya zaid nilijaribu kuionja kumbeeeeee ina chumvi na sukari humohumo, kitafunwa eti ni makande jamaniii...

...............
...............
...............
Ukisha shiriki/kumfikiria mtu kiakili hiyo tayari ni zinaa, sasa mkuu hadi hapo uchepuke mara ngapi??

................
................
................
Fanya hiviiii, mfate mshikaji mtafunane vyakutosha hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...cha muhimu umpelekee hiyo k,sio big deal,ila uwe muangalifu hakikisha mmeo hagundui
 
Kuna vitu vingine hata si vyakuomba ushauri,unaabisha wanawake wenzako,wanaume watuone punguani

Hata aiingii akilini,hivi kweli mlikuwa marafiki ukamtamkia unampenda akakuambia anamchumba,hamjawahi sex bado ukampenda hivyo hivyo

Wakati mi mwanaume akinijibu kama hivyo nashukuru kuujua ukweli kuwa ana mtu wake kupenda naacha hapohapo,nabaki kuheshimu mahusiano ya MTU,afu siwezi kushare huku najua.

Tuachane na hayo umeolewa mnaishi kwa amani,bado unatafutana na huyo rafiki mnarushiana picha za uchi serious??!!
Afu zikija kuvuja utasema shetani alikupitia,badilika unajua kuna mambo mengine hata shetani atawakana

So sad,namuonea huruma Huyo mume alokuweka ndani afu unakipiga picha kitumbua chake unamtumia mwanaume mwingine si ajabu Mr katoka kukishave mwenyewe ajionee kinavutia

Aisee ushauri wangu badilika,mapepo ya ngono na usaliti mnayataka wenyewe kwa kutokulidhika na mlivyo navyo siku vikipotea ndo mtajua thamani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaahhhhh...
Barikiwa sana dada yangu,walau umenifanya niamini bado kuna wanawake wema wanaoishi.
Nimekupenda kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear future wife ujinga huu nikiukiuta kwenye simu yako utaenda kulazwa na talaka itakukuta huko huko
 
Back
Top Bottom