Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,979
Huanza kama utani utani ila umaliziaji wake ni mbayamechi za ugenini mara moja-moja sio mbaya.
Huanza kama utani utani ila umaliziaji wake ni mbayamechi za ugenini mara moja-moja sio mbaya.
Hahahah msaidie rafiki yako anapotea...
Muombe sana Mungu akuepushe na hilo pepo la ngono linalowaka tamaa juu ya huyo mume wa mtu.... Ukilishinda utashinda zaidi ya kushinda na furaha itaongezeka maradufu kwenye ndoa yako.... Ukishindwa kuhimili umekwisha.. Anguko lako litaanzia hapoHabari za weekend wakuu
Nimekuja kwenu na I'd mpya maana naona mpaka aibu, kueleza na isitoshe nipo humu ndani Nina marafik najuana nao na mashemeji zangu pia wapo na tunajuana I'd.
Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja muheza tanga alikua kikazi namm nilikua nipo pale kikazi tulikua marafiki SNA, nikajikuta nampenda SNA ila yy alikua na mahusiano yke.
Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda SNA akasema hata yeye anahisia na mm ila anamchumbaake anamsomesha so hawez kumuacha. Basi niliumia lakin nilimuelewa tukabak kuwa marafik
Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr, ananipenda na wote tunahofu ya Mungu Hathaway kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.
Jamaa yangu yule wa muheza nayy mwaka juzi akaoa, lakin ndoa yao haina Aman wanagombana kila Siku mwaka Jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengena Basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana PC mpaka za uchi nikajikuta nampenda SNA kuliko hata mume wangu, na hapo hatujawah kusex hata Siku moja.
Mwaka Jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa, coz hata mm pia Nina mume so sio big inshu akanuambia unajua nn V, tulia kwenye ndoa yko Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa aman acha mm nipambane na hali yangu, nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakin mumeo akija kuona chat zetu atakuua.
Niliumia nikamwambia okey lakin umeniteka akili yangu naumia SNA juu yako, nataman tukutane hata Siku moja tupeane raha alafu tuachane akasema sawa, ila mawasiliano na mm kapunguza anaogopa mm make wa MTU na mm nimeshadata kwake nifanyaje jaman.
Cjawah kuchepuka hata Siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuaje ananiamini SNA.
Yule jamaaangu wa muheza nampenda SNA tena SNA nayy Ananipenda lakin naogopa kuchepuka.
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app

AmenDaaaahhhhh...
Barikiwa sana dada yangu,walau umenifanya niamini bado kuna wanawake wema wanaoishi.
Nimekupenda kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah msaidie rafiki yako anapotea...
Neno la uzima hili, wanawake wote mngekua hivi wanaume wasingekua na michepukoKuna vitu vingine hata si vyakuomba ushauri,unaabisha wanawake wenzako,wanaume watuone punguani
Hata aiingii akilini,hivi kweli mlikuwa marafiki ukamtamkia unampenda akakuambia anamchumba,hamjawahi sex bado ukampenda hivyo hivyo
Wakati mi mwanaume akinijibu kama hivyo nashukuru kuujua ukweli kuwa ana mtu wake kupenda naacha hapohapo,nabaki kuheshimu mahusiano ya MTU,afu siwezi kusharehuku najua.
Tuachane na hayo umeolewa mnaishi kwa amani,bado unatafutana na huyo rafiki mnarushiana picha za uchi serious??!!
Afu zikija kuvuja utasema shetani alikupitia,badilika unajua kuna mambo mengine hata shetani atawakana
So sad,namuonea huruma Huyo mume alokuweka ndani afu unakipiga picha kitumbua chake unamtumia mwanaume mwingine si ajabu Mr katoka kukishave mwenyewe ajionee kinavutia
Aisee ushauri wangu badilika,mapepo ya ngono na usaliti mnayataka wenyewe kwa kutokulidhika na mlivyo navyo siku vikipotea ndo mtajua thamani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
usijali Mungu ni mwema muda wote.Huanza kama utani utani ila umaliziaji wake ni mbaya
Yaani hata wewe utasahau kuwa una wivu maana nitahakikisha sikupi sababu ya wewe kuona wivu, nitajitahidi kufanya mambo yangu kwa weledi sana tehhehehehhe sawa, maana nina wivu sanaaaa ujue mapema
Hatuwezi vaa viatu vyako ni vichafu na ni oversize....vinakuenea we mwenyeweHizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,
Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over
Mnitukane lakin vaen kiatu changu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yako hatuyajui labda weka hapa tukusaidieSina cha kumsaidia maana hata mimi nina mengi ninayopambana nayo kwa hiyo nae apambane tu na hali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole bibie ukileta mada hapa au kuomba ushauri jiandae kwa yoteHizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,
Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over
Mnitukane lakin vaen kiatu changu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitazifua nikurushie babe..

Mzoefu huyu, mwambie akutajie
yake nyingine.Ninyi wala hamuwezi kunisaidia, napambana mwenyewe vikinizidi kilio, fadhaa zangu zote namtwisha Mungu wanguYako hatuyajui labda weka hapa tukusaidie
Okey pambana , Mungu anakupenda sanaNinyi wala hamuwezi kunisaidia, napambana mwenyewe vikinizidi kilio, fadhaa zangu zote namtwisha Mungu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app