Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

Hujui unachokisema kuhusu hofu ya Mungu. Wanawake wengi wanatabu hii cjui wanatafsiri vip neno hofu ya Mungu.
 
Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,

Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over

Mnitukane lakin vaen kiatu changu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ushato.mbwa wewe! Na sio mara moja dyadya

Kumbe mmeo kibamia? Kwanini ulikubali kuolewa nae sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu eti una hofu ya Mungu wewe???unatuma hadi picha za utupu dah namsikitikia mumeo wazazi na watoto wako ur a disgrace
Habari za weekend wakuu

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema hata yeye ana hisia na mimi ila ana mchumba wake anamsomesha so hawezi kumuacha. Basi niliumia lakini nilimuelewa tukabaki kuwa marafiki.

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr ananipenda na wote tuna hofu ya Mungu hatujawahi kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa Muheza naye mwaka juzi akaoa, lakini ndoa yao haina amani wanagombana kila siku.

Mwaka jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengana basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana picha mpaka za uchi nikajikuta nampenda sana kuliko hata mume wangu na hapo hatujawahi kusex hata siku moja.

Mwaka jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa sababu hata mimi pia nina mume so sio big inshu.

Akaniambia, "Unajua nini V, tulia kwenye ndoa yako Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa amani acha mm nipambane na hali yangu. Nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakini mumeo akija kuona chat zetu atakuua."

Niliumia nikamwambia okey lakini umeniteka akili yangu naumia sana juu yako, natamani tukutane hata siku moja tupeane raha halafu tuachane akasema sawa ila mawasiliano na mimi kapunguza anaogopa mke wa mtu na mimi nimeshadata kwake.

Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.

Yule jamaa wa Muheza nampenda sana tena sana na yeye ananipenda lakini naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri, nifanyeje?



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukithubutu kumvulia kisepe chako huyo jamaa akauchomeka ub** hata kichwa chake tu hapo papani kwako amini nakueleza hamtoacha kuendeleza
 
Amri ya ustaman mume/mke was jiran yako wala punda wala Mali ya jiran huijui au ww unasali kutumia kitabu gan cha din?. Acha tamaa huwez kupenda kitu hukijui hapo ni tamaa kemea Pepo huyo wa uzinzi ............. Ameen
 
Back
Top Bottom