cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Hafu watu hufikiria ndoa ni mafanikio na hamna tatizo kumbe ndoa ni jela nyingine. I always love my daddy hunambia ukweli kuwa nitimize malengo yangu ya maisha marriage is an extra thing in life. Hafu ukifata haya mambo ya socially constructed you won't enjoy ndoa zenyewe watu wameoana ni Malaya kuliko single.Hapana,ni ninyi wanaume pamoja na jamii mmeaminisha mabinti na wanawake,kuwa ndoa ndio kilele cha kila kitu kwenye maisha.
Hivyo bila ndoa msichana ama mwanamke si lolote,hana thamani ni rejected material, hata thread nyingi zinazoanzishwa MMU zinareflect hilo .
Hivyo kuepuka kuwa labed as a rejected material, wasichana na wanawake wengi wanaingia ndoani especially wakitz bila kufikiri Mara mbili,bila kupima kiwango cha upendo na bila kujuwa maana halisi ya ndoa.So tusiwalaumu,to every action there is an equal and opposite reaction, haya ni matokeo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
After all hata ukiolewa jukumu lakujipa furaha yako ni lako mwenyewe tena usipopata mtu sahihi ni kujiandaa na machungu ya milele
Sent using Jamii Forums mobile app
