Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

Ndio maana mi staki kuoa.....ndoa zimejaa use. Nge....use...nge. Na yule single maza naye anataka nimuowe....shubaamit. si ndio yatakuwa haya haya.

Wapemba wakificha wake zao wasitoke ndani wanaonekana wabinafsi.

Hizi kazi hizi. Wengine wanaliwa na mates wao wa kazini.

Sioi

Sent using my Nokia Torch
 
Penye miti hapana wajenzi!
Dunia hii kila mwanamke analilia mwanaume alotulia, anayependa na kujali! Wewe unaye unahangaika na mwanaume mwenye mke wake?!
Anakupotezea muda wako na mwisho atavunja ndoa yako!

Tulia tena umuombe Mungu akusamehe!
 
Nakwambia mdogo wangu upele humwota asiye na kucha na mwenye bahati habahatiki
Penye miti hapana wajenzi!
Dunia hii kila mwanamke analilia mwanaume alotulia, anayependa na kujali! Wewe unaye unahangaika na mwanaume mwenye mke wake?!
Anakupotezea muda wako na mwisho atavunja ndoa yako!

Tulia tena umuombe Mungu akusamehe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha.Haya bana.Pole sana mjinga mmoja wewe mm sina cha kukushauri zaid ya kusema HUO UPUMBAVU achana nao
..
Binafsi nina miaka kadhaa kwenye ndoa na ninamshukukr Mungu sijawah kutana na hiz fujo za ndoani.
Lakin kila siku naposoma ujinga wa hawa kina dada huwa inanifanya nijiandae kisaikolojia tayar kwa vimbwanga maana duh!
Halaf angakia sababu zao sasa ndio utachoka.Ngoja niendlee kukaa mguu upande .Ahahahah
Mkuu mbona umecheka kike?
Kuna usalama kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom