cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,665
- 78,147
Novela kutoka nje ya ndoa yako sio kwamba ya nje ni mazuri snaa na matamu sana, unajichimbia shimo usiloweza kutoka tena
Ushauri mzuri
Utakuwa mlokole wewe.. labda
Novela kutoka nje ya ndoa yako sio kwamba ya nje ni mazuri snaa na matamu sana, unajichimbia shimo usiloweza kutoka tena
Wapo wanawake wazuri wenye tabia njema na wanaojitambua sio kama huyu mwanampotevu
Wee ni zero brain kumbe, no more commentsHizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,
Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over
Mnitukane lakin vaen kiatu changu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuone hizo picha ulizomtumia



ila Jf kuna watu mna vituko sana Le super woman mwenyewe nakuona nakuonaUshauri mzuri
Utakuwa mlokole wewe.. labda



, hivi walokole wakojeTunajichosha tu kumshauri acha akaliwe
Le super woman mwenyewe nakuona nakuona, hivi walokole wakoje
Wewe wala huna pepo wala nini ni katabia tu ambako kalikuwa introduced sasa kamekuwa ni mazoea sasa ndo yanakutesa, katika jamii yetu ya kimahusiano kitu kinachoitwa chatting ni kibaya sana sana yaani kinapenya mpka uvunguni mwa moyo, mahusiano yanajengwa sana kwa asilimia kubwa na mawasiliano, na hasa sisi wanawake ugonjwa wetu upo hapo kwenye mawasiliano,the more mtu anavyokuweka karibu sana unajikuta unampenda unampenda mpka basi,unapigwa upofu haswaa mpka yule aliyekaribu nawe unamuona si lolote na utaanza kuona madhaifu yake kama wewe hapo ushaanza kuona kama hulizishwi,Mara kama mrefu utamuona mrefu sana,kama mfupi utamuona mfupi Sana yaani utatafuta vitu kibao vya kukupa uhalali wa wewe utoke nje. Dhambi huanza mawazoni kama tamaa,kisha wazo lile ukiendelea kulilisha linakupa nguvu ya kusema,nguvu ya kuongea inaenda kuzaa tendo.Jaman nimeishi na Mume wangu miaka mitano cjawah chepuka wala kuhisi ntafanya hivyo.
Ila nahisi Nina pepo LA ngono, sio kwamba mume wangu anakibamia hapana yupo wastan Ila sasa shetan naona ananitesa maana nilikua nimesimama SNA, lakin sasa HV najiona ovyo ovyo kila dhambi naitamani, natamani kujaribu kunywa pombe, natamani kila aina ya dhambi.
Yaan nafunga na kuomba lakin nashindwa, nawaza cjui nichepuke labda ntapata raha zaidi kuliko anazonipa mume wangu nifanyaje jaman najiona sio mm kabisaaa.
Jamaa mwenyewe wa kawaida tu, hana pesa za kumzidi mume wangu ila basi tuu. Nisaidien jaman najikuta nampenda mpaka napoteza hamu ya mume wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha woga weweeUshamkosea sana mme wako.. Hiyo hatia itakutesa miaka na miaka..
Umepata chema kwanini usiridhike shogaangu?
Ndoa za siku hizi zimekua za hovyohovyo kias jwamba sioni maana ya ndoa.. Ni bora nibaki huru na maisha yangu..
Sent using Jamii Forums mobile app