and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,219
- 39,701
Shem ana trako?
Ilo la mwanamke kujisafisha kwa kumtoa kafara mchepuko NMEWAHI SHUHUDIA.Ulishaonyesha dalili za kumpenda-penda ndio maana akajitongozesha. Kama ungekuwa umejiheshim asingejaribu hata mara moja kujitongozesha kwako.
Acha kupenda wake za watu utakuja kufanywa kitu kibaya.
Mwanamke anaweza amua kujisafisha kwa mmewe kwa kukutoa wewe sadaka.
Uwe na weekend njema.
Anamtafuta na ameshampata abadili lugha hapoHahahahh eti shemeji in search!!
Mtumie tu kiswahili
Hizi mambo niliwahi kupiga mke wa mtu bila kujua, yeye alidai yupo singo.Ninashukuru sana kwa maoni yenu na ushauri wenu wakuu!
Wallah sikutegemea kama jf nitapata ushauri wa hali ya juu namna hii!
Nimeamua kuachana naye kabisa yani kuanzia leo nimuone kama MWANANCHI WA KAWAIDA tu coz hana jipya tena nishakula sana, nishamfi.... sana, tena nilikuwa ninampeleka nje ya mji sasa it's enough.
NINAOMBA RADHI KWA YEYOTE NILIYEMKWAZA KWA UZI HUU.
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.
Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penzi liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetani ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.
Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".
Akaamini kuwa mimi ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazima fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya muda, sasa juzi tarehe 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya muda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"
Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
But hujakimbia Adhabu Kali inayokujia itakayoambatana na Majuto makuu.... Jiandae tuu ndugu.Ninashukuru sana kwa maoni yenu na ushauri wenu wakuu!
Wallah sikutegemea kama JF nitapata ushauri wa hali ya juu namna hii!
Nimeamua kuachana naye kabisa yaani kuanzia leo nimuone kama MWANANCHI WA KAWAIDA tu coz hana jipya tena nishakula sana, nishamfi.... sana, tena nilikuwa ninampeleka nje ya mji sasa it's enough.
NINAOMBA RADHI KWA YEYOTE NILIYEMKWAZA KWA UZI HUU.
Huko uliko hujagegeda?Dah! Huu ni uchungu sasa. Mm Niko mbali na familia yangu kwa muda wa mwaka na nusu sasa Tupo wilaya tofauti kwahyo unataka kuniambia nini???[emoji23][emoji23][emoji23]
Adhabu inakusubiri... Kosa lako Ni pale ulipotambua kuwa ameolewa ukaendelea na Mimba ukaweka Kisha ukaitoa Damu inakulilia Maisha ya Huyo mwanaume uliyochangia kuyavuruga unadaiwa... Na mwisho Maisha ya Huyo Mwanamke uliyochangia kuyaharibu unadaiwa... Pole Sana Brother,,, Ogopa Sana Sana Kutembea na Mke wa Mtu Ni Dhambi kubwa sana.... Jiandae kikamilifuHizi mambo niliwahi kupiga mke wa mtu bila kujua, yeye alidai yupo singo.
Tarehe za mme wake zilipokaribia kurudi Tanzania akaniambia ukweli kuwa hawajaachana hivyo nisimtafute hadi pale atakaposepa nje tena.
Niliheshimu sikumtafuta
Baada ya mme wake kukwea pipa akarudi kwa kasi ya ajabu hadi nikamjaza mimba. Akatoaa
Baada ya hapo michale ikanicheza nikaamua kuachana naye.
Ila hajaacha tabia yake ameendelea kupigwa na wengine hadi mme kastuka na akaamua kuachana naye
Sa ivi yupo yupo tu.
Mitatoo mwilini. Hata alivyoonesha dalili ya kujilengesha nikavuga ratiba zinabana mwishowe amekuwa kimya.
Sa ivi nimeacha kula mali iliyoolewa
Lakini hizi zisozo ndoa aaaaghh nazibabua zikijaa kwenye reli.
Mkeo nakulaga nae kitimoto sana pale ZANIVINA PUB...Namjali sana shemeji yangu wala usihofu ila simli kwa heshima yako braza.Dah! Huu ni uchungu sasa. Mm Niko mbali na familia yangu kwa muda wa mwaka na nusu sasa Tupo wilaya tofauti kwahyo unataka kuniambia nini???[emoji23][emoji23][emoji23]
Kugegeda lazima atakuwa kashagegedaHuko uliko hujagegeda?
Na wife wake anagegedwaKugegeda lazima atakuwa kashagegeda
Hahaha ila naskiaga nyie watamu eti 😁😁😁 ni kweli?Acha na wife agegedwe.
Ni kweli wala si utani [emoji39]Hahaha ila naskiaga nyie watamu eti [emoji16][emoji16][emoji16] ni kweli?
Umemaliza mkuu, yani mtu anakazana amtombe demu wa mwenzie wakati wanawake wako kibao. Sijui wanaume wengine akili zao zikogo takoniNikimuona mtu anatafuna mke au demu wa rafiki yake (amabaye hata hawajaachana) na anakuja humu kuhadithia namuona bado ana akili za kitoto,mshenzi,anaweza kumuua mtu yeyote kwa sababu ana tamaa na mwisho inawezekana akawa na chembe chembe za ushoga.
Mmh itabidi siku unionjeshe nione kama sukari au chumvi kwa mbali😍Ni kweli wala si utani [emoji39]
Nadhani tatizo kubwa ni jinsi alivyoweka wazi details muhimu. mume wa jamaa au huyo mke akisoma hapa lazima ataelewaUmemaliza mkuu, yani mtu anakazana amtombe demu wa mwenzie wakati wanawake wako kibao. Sijui wanaume wengine akili zao zikogo takoni