Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Na unajua kabisa jamaa ana bastola kumbe!

Ni ujinga sana kujiona kidume kutembea na wake za watu tena maskini wakati waume zao wako mbali kuwatafutia maisha hao wanawake na watoto. Na ni ujinga zaidi ambao hauna msamaha kutembea na mke wa mshkaji wako.

Usijione kidume kabisa aisee, kaa chini alafu jione fala sana

Binafsi nikisikia ishu kama hiyo mshikaji anakula Mke wangu (Nikioa lakini) nitaingia gharama yoyote nimuonyeshe adabu.
Ushenzi na upuuzi uliotukuka kujisifia kwa kutafuna mke wa mtu
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penzi liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetani ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mimi ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazima fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya muda, sasa juzi tarehe 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya muda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
Me nafkili hili swala ungechaa chini wewe na serikali yako ukapata mwafaka mambo mengne hayahitaji ushauri lbd kam umetaka tujuwe kwamba unakula mke wa mtu
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penzi liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetani ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mimi ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazima fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya muda, sasa juzi tarehe 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya muda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
yaani jamaa next time atarudi akiwa na evidence za kutosha. yaani wadada wadogowadogo waliojaa hivo unadiriki kula mke wa mtu. huna akili kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom