Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Hivi huogopi kukosa marinda kizembe hivyo, umekosa wanawake walio huru mpaka ukomae na mke wa mtu? Watu wengine bwana.
 
dah! aisee haya maneno yamenikaa kichwani sana mpaka imepelekea juzi kati nkaota sijui nimefanya soo gani, wajuba kama watatu wamenidaka alafu nikasikia sauti kwa mbali "oya mpakeni mafuta uyooo" ..
Ha ha ha ha ha, wewe jamaa bhana
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penz liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetan ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mm ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazia fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya mda sasa juzi tar 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya mda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
Ulishaonyesha dalili za kumpenda-penda ndio maana akajitongozesha. Kama ungekuwa umejiheshimu asingejaribu hata mara moja kujitongozesha kwako.
Acha kupenda wake za watu utakuja kufanywa kitu kibaya.
Mwanamke anaweza amua kujisafisha kwa mmewe kwa kukutoa wewe sadaka.
Uwe na weekend njema.
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penz liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetan ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mm ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazia fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya mda sasa juzi tar 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya mda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
Ameshasoma na amekujua. Kaa tayari kufumuliwa kichwa. Mambo haya si ya kusimulia hivi tena duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom