Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Nadhani tatizo kubwa ni jinsi alivyoweka wazi details muhimu. mume wa jamaa au huyo mke akisoma hapa lazima ataelewa
Hilo jambo sio kitu cha kujivunia kabisa. Ni swala la siri sana na hata ikitokea huwezi kuliongelea mbele ya umati.
 
Utanitombaje mie mke wa mtu wakati wasioolewa wamejaa kibao
Hii ndio kauli ambayo wenzako wengi hushindwa kuitoa ndio matokeo yake wanawapa sababu wapuuzi kuja kuanzisha mada kama hivi.

Congratulations Dilek!😍
 
Dah, sijawahi kula mke wa mtu na sitarajii kula. Actually hazifundishi sababu hamna kitu cha kujifunza ila zinaonesha real life experience ya watu ambao wameoa malaya na tabu ambazo wanapitia.
Story nyingine ni muhimu kuzifahamu zinafundisha.
 
Dah, sijawahi kula mke wa mtu na sitarajii kula. Actually hazifundishi sababu hamna kitu cha kujifunza ila zinaonesha real life experience ya watu ambao wameoa malaya na tabu ambazo wanapitia.
Mimi sijudge mtu yoyote, sijui nini imepelekea wakafanya hivyo
 
Karma is a bitch man! What goes around always comes around! Usijione mshindi kiongozi, ipo siku mbovu kabisa yaja machoni pako. Utalia na kusaga meno.
 
K
Hilo jambo sio kitu cha kujivunia kabisa. Ni swala la siri sana na hata ikitokea huwezi kuliongelea mbele ya umati.
Kama Ni kweli aliyosema na sii chai basi kaisha Huyo... Unajua wapo watu wengi Sana wanatumia JF Kama guest... Sasa ategemee Uzi huu au kusomwa na Muhusika au mtu wa karibu na Muhusika... Naomba Sana isiwe kweli jamaa kashajimaliza mwenyewe..
 
Ajiandae kupimwa tezi dume tu 😂😂😂
 
ndugu naikiri una mke au kama huna mke hata mpenzi unaempenda sana unaye au ulishawahi kuwa naye sasa fikiria maumivu ambayo unaweza kuyapata ukimkuta mkeo au mpenzi wako yuko na mtu wana banjuka wazo la kwanza utakalo lipata ni KUUWA sasa endelea
 
Mke wa mtu akianza kuchepuka hawezi kuacha..Mwisho wa siku mume au mke anaweza kupoteza maisha au kuishia jela kwa mauaji ya mmojawapo. Mume ukishajua mke kacheuka mpe talaka na usimsogelee.. Wanawake hawawezi kuhold mapenzi ya watu wawili.
 
Wacha kabisa kumtafunia rafiki yako,bora ugongewe na mtu msiyejuana lakini rafiki inauma sana,kaa mbali na huyo shemeji yako vinginevyo utaliwa kiboga tena mtungo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penzi liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetani ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mimi ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazima fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya muda, sasa juzi tarehe 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya muda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
Kwahiyo,we ni mwizi wa wake za watu,ukishavuna ulichopanda,tuletee mrejesho.
 
Huwa najaribu sana kufikiria, ninawezaje kumlala shemeji, mke wa jamaa yangu, yaani mshikaji kinoma? Huwa sipati picha maana yule shemeji huwa namuona kama dada yangu kabisa...
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penzi liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in such, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetani ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mimi ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazima fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya muda, sasa juzi tarehe 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya muda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?
Si nzuri kula shemejio na kama mnafahamiana na jamaa.
Jizuie kutofanya hivyo hii itakujengea kijiamini hata kufatilia nyendo za shemejio .

Usiendekeze tamaa.

Short story
Mzee mmoja jirani yangu alipata kadada kado around 20+
Na akakaoa kabisa na yeye ni mtu wa mgodini so akisafiri atatumia 2month yupo huko.

Yule shemeji niliona dalili zote ananyeg......
Na mtu pekee wa kumla ni mimi .
Aisee nilimwepuka kwa kila kono .

Mzee ariporudi akanipongeza sana kumbe kule ndani aliweka hidden camera za kuangalia kila linaloendelea .

Sometimes unaweza kujiletea matatizo .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom