Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Acha ufala

Kama huyo mwanamke ushamla inatosha

Unataka Nini Cha ziada .

Kama tamaa zako usjazitimiza unachotaka Sasa ni ugomvi

Usijaribu kutumia myumbo wa kiuchumi wa jamaa Kama silaha ya kumtafutana zaidi mkewe .

Once akiwa stable atakuwa attaack vibaya sana.

Kuchepuka inarusiwa Ila usitake kuchonga mzinga
Mkuu kama kitu mtu hajakianza bora asifanye. Kuna rafiki yangu alianza kula beki tatu wake. Hakuacha mpaka yule binti anaacha kazi. Ukishazoea unaona kawaida na dhambi inakuwa Sugu unashangaa mtu wa maana kakutwa na tukio la ajabu.
 
Niliwahi kufanya huu utoto wa kula mali za wenyewe miaka hiyo ndio kwanza nimeanza kazi.

Siku ya siku mzee mmoja mume wa yule mdada akanifuata kwenye meza bar na kuniangalia kwa jicho kali na kuniuliza “kumbe wewe ndio Consultant?!” I was scared maana sikujua nini kimetokea na amepanga nini.

Tokea miaka hiyo niliacha hayo mambo. There are too many women out there na hakuna haja hata kidogo kumess around na wake za watu
Acha kabisa tukio la kujulikana unatomba mke wa mtu halafu mwenyewe ajue
 
Hivi supu zoote hizi mjini huoni mpaka usukutue mke wa mtu, nyege kweli changamoto lakini tusiziendekeze, mwisho wake mbaya saana ndugu yangu.
 
Alishapata scandle kwa wanae kuwa akiwa nje ya nchi huwa ninamtafunia mkewe akanipigia simu coz alikuwa swaiba yangu sana baadae mkewe akanipa mtihani mkubwa sana coz alikuwa anatembelea ofisini kwangu kupata huduma za kiafya na kisaikolojia.

Wakati anaambiwa na gate man wake kuwa ninatoka naye nilikuwa bado sijamtafuna but penz liliokolea kwani alikuwa ananitongoza sana but nilikuwa ninaona aibu coz ni shemeji yangu in search, kama mnavyojua mwanaume kutongozwa na mwanamke alafu umshinde shetan ni mtihani sana nikajikuta nishajaa.

Baadae nikaja nikamtafuna tena sana sasa mumewe akaje kucomfirm kuwa si kweli yule gate man alikuwa anamzushia coz she was very strict to him akawa hampendi tu baadae jamaa akaamini kuwa simli baada ya kumshikia bastola mumewe na kusema "niue tu sijawahi kukusaliti".

Akaamini kuwa mm ndiye rafiki wa shida na raha and very innocent to him and his family sasa baada ya covid19 kutawala soko la kimataifa katika mauzo na manunuzi jamaa akayumba sana na aghalabu alikuwa akiniazia fedha nyingi tu na kuzirejesha baada ya mda sasa juzi tar 08/10/2020 kasafiri tena baada ya lockdown ya mda mrefu na sentesi aliyonipa ndio imeniacha njiapanda "MIMI NINAONDOKA FAMILIA YANGU YOTE NINEKUACHIA WEWE WASAIDIE KWA KILA UWEZAVYO WEWE NDIYE NDG YANGU"

Sasa swali ni je ameshaona kuwa hawezi tena kunizuia kumtafunia mkewe au amekubali tu yaishe au kuna njama aninipangia ili nijae anihukumu kikatili?

Kwani usingejitahidi ubaki huo upande wa kusaidia zaidi kuliko huo upande mwingine wa kumchukua mke wa rafiki yako sababu imeandikwa "usimtamani mke wa jirani yako"

By the way,Mungu ana kusudi na wewe ndiyi maana umeachwa ili uendelee kutafakari upya.sababu unachokifanya utasababisha magazeti yauze,kuna matukio ya kuawa wanandoa tumekuwa tukiyasikia .mwanzo wake huwa yanakuwa kama utani hiv hiv. Yaani unachokifanya kwa kifupi kinaenda kuondoa uhai wa mtu,kati yenu watatu,au wote pia.

THINK BRO! pale utakavyotengeneza headlines kwenye media
 
Back
Top Bottom