Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Mume wa mchepuko wangu aniacha njia panda

Ukiwa mbali na mkeo au umesafiri lazima mke wako ataliwa.

Rekodi zinaonesha wake wanaoliwa sana huwa wanaume wako safarini.
Dah! Huu ni uchungu sasa. Mm Niko mbali na familia yangu kwa muda wa mwaka na nusu sasa Tupo wilaya tofauti kwahyo unataka kuniambia nini???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazungu wanakwambia "don't shit where you eat".
 
Endelea kumla..lijalo litakufurahisha.
 
Niliwahi kufanya huu utoto wa kula mali za wenyewe miaka hiyo ndio kwanza nimeanza kazi.

Siku ya siku mzee mmoja mume wa yule mdada akanifuata kwenye meza bar na kuniangalia kwa jicho kali na kuniuliza “kumbe wewe ndio Consultant?!” I was scared maana sikujua nini kimetokea na amepanga nini.

Tokea miaka hiyo niliacha hayo mambo. There are too many women out there na hakuna haja hata kidogo kumess around na wake za watu
Bora ulishtuka, marinda yangekuwa bai bai
 
Sisupport unachofanya hata kidogo,lakini nakupa ushauri rahisi sana.binadamu tukifanyiwa kinyume na tulivyotegemea huwa tunapata kigugumizi cha kutokujua cha kufanya.
Huu ndo wakati wa kumshangaza 'acha kutembea na mkewe' mjali kama shemeji yako,utanishukuru akirudi.
 
Acha ufala

Kama huyo mwanamke ushamla inatosha

Unataka Nini Cha ziada .

Kama tamaa zako usjazitimiza unachotaka Sasa ni ugomvi

Usijaribu kutumia myumbo wa kiuchumi wa jamaa Kama silaha ya kumtafutana zaidi mkewe .

Once akiwa stable atakuwa attaack vibaya sana.

Kuchepuka inarusiwa Ila usitake kuchonga mzinga
Wapi wanaruhusu huo ujinga mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Na unajua kabisa jamaa ana bastola kumbe!

Ni ujinga sana kujiona kidume kutembea na wake za watu tena maskini wakati waume zao wako mbali kuwatafutia maisha hao wanawake na watoto. Na ni ujinga zaidi ambao hauna msamaha kutembea na mke wa mshkaji wako.

Usijione kidume kabisa aisee, kaa chini alafu jione fala sana
Mauaji kama haya hayanaga hukumu. Maana ni kosa kisheria kutembea na muke ya mtu.
 
dah! aisee haya maneno yamenikaa kichwani sana mpaka imepelekea juzi kati nkaota sijui nimefanya soo gani, wajuba kama watatu wamenidaka alafu nikasikia sauti kwa mbali "oya mpakeni mafuta uyooo" ..
Hahaha angalia bro isje kuwa wachawi wanakuderee night kali
 
Mtaamini shetani yupo pale mtakapoonyeshwa huyo mke wa mtu.

Yaani hapo shetani anachotaka ni kodogo tu...
Anataka aongeze list ya mfiraji/muuaji maana ameshatengeneza wazinzi wawili.
 
Ninashukuru sana kwa maoni yenu na ushauri wenu wakuu!
Wallah sikutegemea kama JF nitapata ushauri wa hali ya juu namna hii!
Nimeamua kuachana naye kabisa yaani kuanzia leo nimuone kama MWANANCHI WA KAWAIDA tu coz hana jipya tena nishakula sana, nishamfi.... sana, tena nilikuwa ninampeleka nje ya mji sasa it's enough.

NINAOMBA RADHI KWA YEYOTE NILIYEMKWAZA KWA UZI HUU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom