Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,408
Reaction score
1,332
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila anatoa huduma zingine kama kawaida.

Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.

Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Ngumu kumeza aisee.

Kaa naye mzungumze ujue shida iko wapi kama ana tatizo mkatafute wataalamu wa Afya. Kusubiri kwa kipindi chote hicho ni kupalilia tatizo.

Inamana we nawe hata kumgusa humgusi akilala na wewe unalala kama ni hivyo we pia una shida sehemu.
 
Mi nakushauri uwe unaomba mchezo mwenyewe mvutie kitandani taratibu umvue boxer alafu anza kuchezea korodani hzo mdogomdogo huku wewe ushamkabidhi maziwa anayanyonya taratibu..hebu changamka mama unajua hakuna kitu kizuri kama mwanamke kuomba mgegedo
 
Sasa kama mwanamke unanuka nuka tu mijasho kama zizi la mbuzi, kwapa jeusi kama uchafu wa vocha unategemea huyo mumeo apate wapi mzuka!!!

Halafu kitu kingine, we mwanamke kwani huwezi kumpokea mumeo kwa bashasha na kuonesha mazingira kwamba wataka kudinyana!!! Mnataka mtongozwe hadi kwenye ndoa???

Sasa we endelea kushangaa shangaa hapo kama unasubiri lifti ya treni vile...

Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.

Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom