mume labour room! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mume labour room!

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbu, Oct 26, 2008.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hivi, psychologically inamsaidia nini mama mjamzito mpaka mume kuingia labour room mpaka mtoto azaliwe?
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  si ulikuwepo (mume) wakati mtoto anaingia tumboni, na wakati akitoka uwepo pia.
   
 3. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2008
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haya mambo hufanywa na wazungu kama sasa mshayaleta hapa Tanzania kuna matatizo ndani yake kwani hata hao wazungu wamekuwa baadhi yao wakisema pale mara ya kuhudhuria tendo la kuona mtoto kuzaliwa wengi wanakuwa hawatamani tena hiyo shuhuli ya kufanya mapenzi na wapenzi wao kutokana na waliyoyaona yanawafanya mioyo yaoiwe mizito
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,403
  Likes Received: 81,427
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mama, lakini hili kwa wanaume wengine huwa na athari kubwa kwao na wakati mwingine huathiri ndoa na kwa wengine inawafanya wawapende na kuwaheshimu zaidi wake zao.

  Spear, hata baadhi ya Wazungu wamepata athari hiyo hiyo. Niliona kipindi kwenye TV ambayo wanaume mbali mbali walikuwa wanazungumzia hili la kuwemo labour room wakati wapendwa wao wanapojifungua. Mzungu mmoja aliapa hatampa tena mimba mke wake kutokana na aliyoyaona.
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mh!! Mama hii kali sana....Ukizingatia na yeye mume alichangia kumuingiza huyo mtoto lazima ashuhudie akitoka sio pia??
   
 6. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  inasaidia sana kwa namna ya pekee kumu encourage mama kwamba hayuko peke yake kwenye hiyo adha...na uwepo wa mume unafariji sana kwa kweli. mnaposema "...kwenye raha na shida, ugonjwa na uzima..." hii si ndio maana yake?
  tena ni vizuri zaidi baba anapo saidia kukata kitovu, yaani mama unajisikia kweli mpo bega kwa bega na mwenzako...
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Sasa Mama ukisema hivyo, vipi kuhusu wale wanaobambikiwa mimba ilhali ni ya mtu mwingine.. Kisaikolojia, hapo labour room mwanamke bado atakuwa anajisikia vyema wakati anajua kuwa jamaa siyo mhusika??? Hii haiwezi kumwathiri kiasi cha kushindwa kuendelea na zoezi???

  Naomba kueleweshwa tafadhali..
   
 8. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  From my own point of view I guess it makes a man feel the pain a wife goes through so that he would think twice about leaving the kid and wife behind insearch of other women!
   
 9. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  eeeh Kevo .. isiombe .. a man doesnt feel any pain maybe kuhangaika tu anavyomuona mwenzie anaumia.

  Mungu anisamehe, ningependa wanaume ndo wangefeel labour pains halafu wanawake mda ukifika anazaa tu .. Wallahi wanaume wote duniani wangekuwa na heshima .. yani hii inanipa furaha isiyokifani just to think about it
   
 10. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na Kweli Mungu Akusamehe!
   
 11. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Awepo (Mume) pia kushiriki labor pain
   
 12. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Private hospital ni sawa lakini kwetu wengi walala hoi .. mathalan unende muhimbili au amana .. balaa tupu .. mwanaume atakuwa kichaa .. huenda asile nyama maishani mwake tena .. kusema kweli hamna usafi kwenye kuzaa .. save them the embarassment

  Nilivyozaa mwanangu wa kwanza kuna mwanamke wa makamu .. she was trying for a baby boy as she already had 6 girls basi God blessed her ila during her labour alikuwa akitukana matusi makubwa makubwa yote akiyaelekeza kwa mumewe .. watu wengine hurukwa na akili kabisa wakiumwa uchungu ... ni mtihani kusema kweli ... kwani wengine huvua kabisa nguo ... kama mwanaume akipata chance yakuingia wodi ya wajawazito wakisubiri kujifungua atakubaliana na mimi .. its chaos
   
 13. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Mungu aliamua kuwapa adhabu kali..maana Eva ndo alimdanganya Adam pale kwenye bustani kwamba ale tunda. Na sisi tukaambiwa tutakula kwa jasho na familia zitatutegemea! Kwa hiyo mi naona ni mgawanyo wa majukumu..maana dhambi tuliibeba wote.....Lol!
   
 14. M

  Mama JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  May be mumewe angekuwepo by her side matusi yote hayo yasingekuwepo especially kama mtoto alimpangilia.

  Mambo yanakuwa tofauti kama mtoto kaja kwa bahati mbaya (hukupanga kuzaa ula imetokea una mimba au mwenzi wako alikulazimisha kuwa anataka mtoto...for you case may be mume wa huyo mama alikuwa anamsimanga kwa kutaka mtoto wa kiume....)
   
 15. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ingekuwa hivyo kikweli kweli ingekuwa raha sana yaani wanawake tunaenda kuzaa tukirudi aah tunastarehe mguu juu, hamna kusoma wala kufanya kazi tunasubiri tena kwenda labour..ila kwa bahati mbaya dunia hii ya leo sote tunakula kwa jasho, waume na wake wote ni kuhenyeka tu...Adamu mjanja jamani...!
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ... Himawari, ahsante kwa kuibold hiyo labor pain, sijui spelling sahihi ni labour au labor, anyway....si kazi ndogo, bora hivyo hivyo inavyoitwa labor-labour!

  shukran kwa wote mlochangia, inaonekana wengi hasa wachangiaji kinamama mngetamani sana mume naye asikie kauchungu fulani wakati huo.

  Hamjui tu! ...hamjasikia mkunga akisema 'push,...!' unamkuta mume mtu mishipa ya uso 'imemsimama' naye anajikamua?

  Kwa wale wenye roho ndogo, endeleeni kusubiria chumba cha uani mpaka usikie katoto kanalia ndio uende ukaulizie '...wa kike au wakiume???',

  ...mwapitwa na mengi yapo yataka moyo, kama sio kukutia adabu na heshima ya milele kwa Mama'ko, Mkeo na wanawake wote duniani, isipokuwa wale wanaozaa watoto kisha kuwatupa majaani vichanga.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  sijaingia labour najijua nina huruma sana itafikia hata kile kitendo nitashindwa kufanya.
   
 18. M

  Mama JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  thubutu....... hiyo wacha kabisa mwanangu. Hiyo ni place wanna be hata kama kiumbe kitakachozaliwa kitakuwa nyani na si binadamu.
   
 19. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kuna kahospital fulani hapa mjini ,mume utakuwepo muda wote mle chumbani ila ikifika ila wakati wa.....push.............push.......... wanakufukuza.
  Sikuelewa maana yake mpaka leo.........ila nadhani inasidia kwa kiasi furani.nyie muonage hivyo hivyo vitoto vinazaliwa lkn hawa mama zetu wanaumia sana muda ule
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kwani maumivu zaidi ni wakati wa ku push-push au kabla ya (labor pains)?... naona 'waoga' wachache wenye uwezo wao wana opt cesarean delivery, the brave ones (kama waliopo humu JF) wao aaah, sukuma ...sukuma na wewe!

  Mimi (kama mume, na kwa sababu za msingi tu) ninge sign tu consensual forms mama watoto apigwe kisu badala ku go thru all that stretching, screamings and other 'near death' experiences!
   
Loading...