mume labour room!

si ulikuwepo (mume) wakati mtoto anaingia tumboni, na wakati akitoka uwepo pia.

Totaly wrong, mimba inaweza kuwa si yako, kwa hiyo utakuwa unashuhudia tu mtoto wa jirani au njemba fulani akizaliwa.

sema na watu upate kiatu!
 
Totaly wrong, mimba inaweza kuwa si yako, kwa hiyo utakuwa unashuhudia tu mtoto wa jirani au njemba fulani akizaliwa.

sema na watu upate kiatu!

...mungu wangu weeeeeeeeeee :eek:!!!
 
Totaly wrong, mimba inaweza kuwa si yako, kwa hiyo utakuwa unashuhudia tu mtoto wa jirani au njemba fulani akizaliwa.

sema na watu upate kiatu!

Yaelekea siku hizi mambo magumu sasa. Maana yake wakinababa comfo zero, mtoto wako si wako?

Wakati mama alipokuwapo, haukuwapo (katika sehemu ya kificho)
Alipokuwapo mtoto haukuwepo (kutungwa mimba)
Haujamfanya mtoto anakuwapo (wewe si baba yake)
Basi na usiwepo wakati anakuwepo (anapozaliwa)

Enyi wakina mama msiwaonee wakina baba ambao hawakuwapo wakati mimba inakuwapo na hakikisheni hawapo mtoto anapokuwapo!
 
Kitanda hakizai haramu ebo!

...;) dada'ngu, inawezekana wengine wanakuwa conceived kwenye matuta ya viazi, unapotaja kitanda inakuwa irrelevant kwao...;)

...kwani maumivu zaidi ni wakati wa ku push-push au kabla ya (labor pains)?... naona 'waoga' wachache wenye uwezo wao wana opt cesarean delivery, the brave ones (kama waliopo humu JF) wao aaah, sukuma ...sukuma na wewe!

Mimi (kama mume, na kwa sababu za msingi tu) ninge sign tu consensual forms mama watoto apigwe kisu badala ku go thru all that stretching, screamings and other 'near death' experiences!

Mambo ya Victoria Beckham "too posh to push"
 
Mi sinilijifanya mume wakileo nakujitoma labor room,nilitapika mpaka vyakula vya jana yake.Sikuweza kula siku 2,vinywaji tu.
 
Mi sinilijifanya mume wakileo nakujitoma labor room,nilitapika mpaka vyakula vya jana yake.Sikuweza kula siku 2,vinywaji tu.

:D LOL!...

Kheeeeeee? Mkuu kilichokuchefua hicho ni nini bro?...am sure you were'nt prepered kujua mtoto anatoka na nini huko tumboni mwa mama,..ha ha ha...
Imagine kuna kina mama wasoweza ku push haraka haraka mpaka kumpelekea kichanga kuanza kunywa hayo 'maji'... kama utakuwa na roho nyepesi waweza mzaba kibao mkeo ..."sukuma wewe!!!"

Yataka moyo ilhali sote tumetokea huko huko!
 
Mi sinilijifanya mume wakileo nakujitoma labor room,nilitapika mpaka vyakula vya jana yake.Sikuweza kula siku 2,vinywaji tu.

Aisee hii imenikausha mbavu kabisa....na vya juzi je?
Ila wanaume nanyi mna tujimambo, nishawaona wengine kwenye hizi home videos kwenye labor room, yaani wakati uchungu mama umemzidi kabisa, ehe... hizo saa za push push... jamaa likazirahi...chini sakafuni, duh!!!! heri ungekaa kule nje kazi kuzunguka zunguka ukijipigia mluzi taratibu.... ungoje kuitwa na nurse...
 
Wenzenu mnaojaribu kuwaiga sasa wako hatua ya pili. Siye baba tu anakuwepo bali na watoto pia ili wasije wakawasumbua kwa maswali baadaye - mara oh, mdogo wangu kaokotwa wapi ? Kuiga kunya kwa tembo kuna madhara yake ati.
 
Binadamu kweli tuko tofauti. Mimi nimekwenda Labour room mara mbili. Baada ya kuona mihangaiko ya uchungu na hatimae "pushing to delivery" nilipatwa na mawazo sana na "experience" hii imenifanya niwaangalie akina mama vingine kabisa. "I have a New respect for women".
Yaani baada ya kurudi nyumbani kutoka hospitali....sikumwachia wife afanye kitu chochote kile other than breast feeding. Niliona kwanmba shughuli aliyoifanya mle ndani ilikuwa kubwa sana kwa hiyo hakuhitaji mihangaiko mingine.
Nilichukua responsibility zote from cooking, changing the baby, bathing the baby, staying up at night changing the multiple diapers na hata kumsaidia yeye wakati wa kuoga. Mpaka ilifika wakati akaniomba ni "slowdown" that she will take it from there....lakini ilikuwa miezi imeshapita.
So again....binadamu kweli tumeumbwa tofauti.
 
Aisee hii imenikausha mbavu kabisa....na vya juzi je?
Ila wanaume nanyi mna tujimambo, nishawaona wengine kwenye hizi home videos kwenye labor room, yaani wakati uchungu mama umemzidi kabisa, ehe... hizo saa za push push... jamaa likazirahi...chini sakafuni, duh!!!! heri ungekaa kule nje kazi kuzunguka zunguka ukijipigia mluzi taratibu.... ungoje kuitwa na nurse...

welcome back sister kuna muda ulipotea kabisa,ilitokea tu nikashindwa hata kuchukua hatua moja ikabidi nesi mmoja aanze usafi badala ya kumhudumia wife.I have alot of respect for ladies now.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom