......mume kabaka mke wa ndoa..!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

......mume kabaka mke wa ndoa..!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fabinyo, Sep 18, 2011.

 1. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwa ufupi sana,
  ...............nina jirani yangu ambaye pia ni ndugu yangu,ameoa miaka mitatu iliyopita na wanapendana na mkewe, wote niwafanyakazi wa hospital ila tofauti!!!mwaka huu mwanzoni,january,mungu aliwajalia,mkewe akajifungua kwa operation,katoto kazuri kakiume ila haikuwa riziki,baada ya siku moja kakafariki,ilikuwa huzuni sana!!basi tukamzika na maisha yakaendelea na wakamsahau!!

  Kwenye mwezi wa saba,ulitokea ugomvi mkubwa baina yao,wakitishiana hata kuuana basi mama mdogo wa mume (anakaa jirani kidogo pia) akamwomba mume kuwa mkewe akakae kwake ili wasuluhishwe, akakubali na baada wiki kikao cha usuluhishi kilifanyika.

  Mimi nilikuwemo kikaoni na mke akadai kuwa mume alitumia nguvu kufanya tendo la ndoa wakati afya yake ilikuwa haijatengemaa, ndio chanzo cha ugomvi na mbaya zaidi imepelekea apate mimba jambo ambalo kiafya alikuwa bado hashauriwi,basi yaliongelewa weeeeee...

  Yakaisha na wakashikamana tena japo mke alionyesha bado kusononeka sana!!sasa wiki iliyopita yametibuka upya kuliko ile ya kwanza,mume kachacha kwamba mkewe ametoa ile mimba kimya kimya kwani kuna siku mke alilala zamu kama siku tatu hivi(ni kawaida pia na mume huwa anakuwa zamu) hivyo inaonekana alitumia nafasi hiyo kuitoa!!!!.......

  Tunajianda kwa usuluhishi tena,nikaona niwashirikishe nyie wadau muhimu katika visa mbalimbali vinavyojiri katika ndoa huku mitaani,licha yakwamba zinafundisha pia nitapata points zaidi za kuongea huko......jamani hiyo hali mnaionaje? Nani alikuwa sahihi hapo? Nini kifanyike katika hizi ndoa zetu maana matatizo hayaishi kila kukicha
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ningefunga kamba wote wawili naanza kuchalaza viboko..............kwamba

  kwanini mume amlazimishe mwenzie wakati bado afya yake sio nzuri

  na kwa nini mama atoe mimba akati ndo ishaingia hivo
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ilikuwa hatari kubeba mimba nyingine now,
  so maybe ni sahihi....kwa jinsi nilivyoelewa
   
 4. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Sometimes marriages are so ugly! I thnk huyo dada ako na kosa, mumewe alikosea ikanasa, naye kakosea kuitoa bila ridhaa ya mume hata km hakuitaka mimba. Kwa vile anafanya kazi hospital alishindwa nini kumwomba huyo aliemtoa apike jungu kuwa mimba inacomplication so ni lazma itolewe ili wakubaliane? Hakufikiria na hlo laweza isambaratisha hyo ndoa. By the way, why aitoe hali yuko ndoani na pia haikuwa imemletea madhara? Au...,!
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,738
  Likes Received: 415,857
  Trophy Points: 280
  duniani kuna mambo...............................
   
 6. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
   
 7. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  yaani mimi huwa nachoka kabisa,lakini mambo hayo kama hayajakukumba ndio unajifunza kuwa yapo,mungu anamaana yake kuyaweka
   
 8. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  maswali ya kujiuliza kama hayo yako mengi sabry,hata mimi nilijiuliza pia kwa nini hakupika jungu hilo?hata kama,sithani kama mume angekubali ukizingatia kulishatokea ugomvi wa mimba hiyo!!au labda mungu alimfumba asipate wazo la kupika jungu hilo?kweli ndoo zina raha na karaha
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,784
  Trophy Points: 280

  We acha tu Mkuu!! Yaani kila siku tunasoma mambo ya kustaajabisha sana. Mkeo bado hajapona vizuri baada ya kujifungua halafu unaenda kumbaka!!!! Mijitu mingine ina ny*** ambazo si za kawaida kabisa na kuwafanya wawe kama wanyama!!!! dah!
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mhhh ole wetu sisi wanadamu> Maajabu hayaishi. Kuna jamaa aligombana na mkewe kwa kuwa baada ya mkewe kujifungua kwa operation jamaa hakutaka kumgusa Mkewe kwa miaka miwili mpaka opone kabisa sasa huyu anmwingilia mwenzie kwa nguvu lol! Kilichopo hapo kwa kuwa mara ya kwanza aliyekosea ni Mume waksameheana sasa zamu ya Mke kusamehewa huyo jamaa asijifanye kukomaa kwani operation mfululizo nazo ni hatari sana
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  Huyo mume alimuuliza kwa nini katoa mimba? Kama afya ya mkewe ilikua hatarini je? Na kama aliweza kumbaka mkewe atashindwa kukataa mimba isitolewe hata kama imetunga nje ya mji wa mimba?
   
 12. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #12
  Sep 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Huyo mwanaume ni kichaa kabisa...atamlazimishaje mwenzie wakati bado hajapona vyema...
  Huyo mwanamke nae angemweleza mumewe kuwa kashika mimba na kiafya lazima atoe...ni ajabu wote wanafanya kazi hospitali ila hawajui afya ya uzazi kabisa.
   
 13. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ivi kumbe unaweza ukampenda mtu mpka kufikia kum-baka?? kama ni madaktari hao ndo wale wanaomfanyia mtu operation ya kichwa wakati mgonjwa anaumwa mguu! kiukwel hapo iko kazi kwan kila mmoja kafanya kosa tena kubwa tuu ila mimi wa kumlaumu kwanza ni uyo mwanaume(kubaka) kwani yeye ndio aliopelekea mwanamke kutenda kosa la kutoa mimba japo hapo upungufu wa maarifa kwa uyo mwanamke ndipo ulioonekana... kama hali ndo hii, basi tunaomba jukwaa la kusuluhisha ndoa, na mahakama ya ndoa ikiwezekana pia
   
 14. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hahahaha,umepata hasira sana naona,ndio hivyo
   
 15. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  uko sawa sawa
   
 16. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ...hapo ndio unaamini mganga hajigangi
   
 17. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hi ndıo dunıa jamanı
   
Loading...