Mume hanifikishi kisawasawa

unataka bwana au unataka ushauri bibie!!

naona anataka bwana cz amesha fix na mda kabisa kwa iyo haijalishi ni nn utamshauri ila baada ya miezi 6 anatafuta kidumu....
Ila kitu ambacho amesahau mdada ni kuwa amekuwa mama sasa na kwa kiasi inabidi apunguze mihemko ili awe kioo kwa familia cha zaidi ana watoto wa kike.....usiposoma alama za nyakati wanaharakati watakupatia unachotaka.
 
just make ur husband to love,and try to convice him to hav sex.also remember that AIDS makes pple to suffer and die.Think twice.
 
Nina imani tumejifunza mengi katika somo hili hasa sie akinamama.
 
KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA KUFANYA MAPENZI NA KUSEX!mno!
kusex hata na kunguru poa tu!
 
badilisha kiwanja sasa tumia sisim kirumba sio kila siku chamazi tu
 

Biashara matangazo, naona una promo mbaya sana. Kwani waaokutongoza ni wanajamii???

Nenda huko nje watu wakazibue njia ya maji ya machafu!
 
Ukiona safari ni ndefu anzeni safari kabla kwanza (kwa foreplay) mkifika mwisho mwisho ndio mnamalizia kufikikishana mnapotaka.., mapenzi sio kupandiana peke yake hata chakula, kuongea, na kutazama TV na kuwa karibu inaweza ikawa ni mapenzi pia.., ile kufikishana mnapotaka its just icing on the cake
 
vunja ukimya zungumza nae! (kwa hisani ya watu wa marekani)
 
Inawezekana mbunye inanuka samaki aliyeoza.
Inawezekana mbunye inetanuka vya kutosha.

Acha kuwaza eti umbo sijui makalio tu.
 
well said mkuu! Sijui wewe ni kungwi?
 
kama unataka kutiwa humu si utiwe tuu yaishe!usituchoshe kwa habari ya nini sijui! nini!
naona thread yako imejaa majigambo ya umbo na kutoa ultimatum tu hapa!
kichwa maji kabisa wewe!
nawangojeni jumamosi! upo mke mwenzangu? naona umeamua kumpa mtu kavu za uso! kazi ipo nakwambia, msalimie mume wetu!
 
Haaa hahaaa hahaa hahaa rudi kwa nyakanga wako.. ukafundwe upya.. una lala kama gogo unataka tuchoshane tu
 

Kwa maelezo haya wewe ni muhuni mkubwa tu na unataka watu wenye busara zao hapa MMU wahusike kuhalalisha uhuni wako. Mimi sitahusika
 
Huu uzi umeniacha nacheka mwenyewe tu..lolz
Manake kila mtu anaomba binti amPM....hasa alipoelezea nyonga na makalio..duh!
Sina la kukuambia 'msichana'...akili kumkichwa!
 
hasipokuelewa kupitia hapa lazima atakuwa na kautindio kaubongo, anachefua sana huyu mwanamke na naanza kukubali kuwa sio kila mwanamke anafaa kwa ndoa wengine wanatakiwa wajiuze kwenye makasino tu, na huyu mtoa mada ni mmojawapo
 

Mmhh pole sana!! We ongea nae............anaweza kuwa na msongo wa mawazo!!!!
Ila usisahau kupenda ndoa yako wakati wa shida na raha!!
Again pole................kweli kuna kitu unakimiss sana, but be careful sana pia usisahau kupenda ndoa yako wakati wa shida na raha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…