Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

unataka bwana au unataka ushauri bibie!!

naona anataka bwana cz amesha fix na mda kabisa kwa iyo haijalishi ni nn utamshauri ila baada ya miezi 6 anatafuta kidumu....
Ila kitu ambacho amesahau mdada ni kuwa amekuwa mama sasa na kwa kiasi inabidi apunguze mihemko ili awe kioo kwa familia cha zaidi ana watoto wa kike.....usiposoma alama za nyakati wanaharakati watakupatia unachotaka.
 
just make ur husband to love,and try to convice him to hav sex.also remember that AIDS makes pple to suffer and die.Think twice.
 
Older men of age fifty and above prefer young girls because these do emit the rays which turn them on very easily. It is also assumed in this case that their level of spoilage is still low and the mileage is also very low. This knowledge alone constitutes a latent ray large enough to pass a spark in the hearts of these men. Older women as they gather years above thirty they usually become stubborn and spoiled.
Nina imani tumejifunza mengi katika somo hili hasa sie akinamama.
 
kwani ulikuwa hujamuuliza?
Umesema unampenda mumeo, unampenda kwa mazoea?
Unachotaka zaidi ni sex au kufanya mapenzi?
Kama ni sex, go ahead kuwapnga hao wenye erect pens, na kama ni kufanya mapenzi basi take the lead na mfanye mumeo awe na hamu na mahitaji ya kumake love nawe!
KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA KUFANYA MAPENZI NA KUSEX!mno!
kusex hata na kunguru poa tu!
 
badilisha kiwanja sasa tumia sisim kirumba sio kila siku chamazi tu
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

Biashara matangazo, naona una promo mbaya sana. Kwani waaokutongoza ni wanajamii???

Nenda huko nje watu wakazibue njia ya maji ya machafu!
 
Ukiona safari ni ndefu anzeni safari kabla kwanza (kwa foreplay) mkifika mwisho mwisho ndio mnamalizia kufikikishana mnapotaka.., mapenzi sio kupandiana peke yake hata chakula, kuongea, na kutazama TV na kuwa karibu inaweza ikawa ni mapenzi pia.., ile kufikishana mnapotaka its just icing on the cake
 
habari wanajamvi,

mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "dar es salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!
vunja ukimya zungumza nae! (kwa hisani ya watu wa marekani)
 
Inawezekana mbunye inanuka samaki aliyeoza.
Inawezekana mbunye inetanuka vya kutosha.

Acha kuwaza eti umbo sijui makalio tu.
 
ukiona safari ni ndefu anzeni safari kabla kwanza (kwa foreplay) mkifika mwisho mwisho ndio mnamalizia romance.., mapenzi sio kupandiana peke yake hata chakula, kuongea, na kutazama tv na kuwa karibu inaweza ikawa ni mapenzi pia.., ile kufikishana mnapotaka its just icing in the cake
well said mkuu! Sijui wewe ni kungwi?
 
kama unataka kutiwa humu si utiwe tuu yaishe!usituchoshe kwa habari ya nini sijui! nini!
naona thread yako imejaa majigambo ya umbo na kutoa ultimatum tu hapa!
kichwa maji kabisa wewe!
nawangojeni jumamosi! upo mke mwenzangu? naona umeamua kumpa mtu kavu za uso! kazi ipo nakwambia, msalimie mume wetu!
 
Haaa hahaaa hahaa hahaa rudi kwa nyakanga wako.. ukafundwe upya.. una lala kama gogo unataka tuchoshane tu
 
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Kwa maelezo haya wewe ni muhuni mkubwa tu na unataka watu wenye busara zao hapa MMU wahusike kuhalalisha uhuni wako. Mimi sitahusika
 
Huu uzi umeniacha nacheka mwenyewe tu..lolz
Manake kila mtu anaomba binti amPM....hasa alipoelezea nyonga na makalio..duh!
Sina la kukuambia 'msichana'...akili kumkichwa!
 
hasipokuelewa kupitia hapa lazima atakuwa na kautindio kaubongo, anachefua sana huyu mwanamke na naanza kukubali kuwa sio kila mwanamke anafaa kwa ndoa wengine wanatakiwa wajiuze kwenye makasino tu, na huyu mtoa mada ni mmojawapo
Humu kama unatangaza biashara yako, nadhani utapata wateja wengi sana japo wote sio jibu sahihi maana at the end utavunja ndoa yako. Kama kweli wewe ni mke ndani ya ndoa kama ulivyojieleza basi hufai kuitwa mke hata kidogo, hauna maadili ya kutosha hata kidogo, japo sijui imani yako kwa dhati, ingawa naweza ashume kutoka kwenye hilo neno lenye RED kwenye andiko lako, lakini yote tisa ndoa lazima iheshimiwe na watu wote.

Yaani wewe unaona ndoa ni tendo la ngono pekee, na isitoshe kwenye andiko lako hakuna sehemu inayoonesha kuwa umejaribu kuongea na mwenzako kwa kirefu juu ya jambo husika. Unaweza kukuta mwenzako ana matatizo kazini yanampa msongo wa mawazo wewe badala ya kuongea naye vizuri unamwomba mapenzi kana kwamba unaomba maji ya kunywa toka kwa msichana wa kazi.

Bibie nyumba inajegwa na ninyi wawili, ukishaingia barabani utaivunja na huenda ndio lengo lako. Mwisho niseme tu kama unafanya biashara ya mwili wako humu ndani kila la heri, maana nimeona unasema mara nyonga, makario nk hapa utawapata wengi hata ukiweka no ya cm utapigiwa simu hadi ushindwe kupokea hata mojawapo, lakini kama uko serious na tatizo la mapenzi kwenye ndoa yako umekosea njia ya kutafuta solution, kaa na utafakari vema juu ya ulichofanya.

Mwisho kabisa Samahani yawezekana nikakukwaza kwenye maelezo yangu, lakini sina nia mbaya nawe dada/mdogo wangu
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

Mmhh pole sana!! We ongea nae............anaweza kuwa na msongo wa mawazo!!!!
Ila usisahau kupenda ndoa yako wakati wa shida na raha!!
Again pole................kweli kuna kitu unakimiss sana, but be careful sana pia usisahau kupenda ndoa yako wakati wa shida na raha!!
 
Back
Top Bottom