Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Hueleweki kabisaaa .... ! Hujamueleza wala kuzungumza naye ... alafu uko huku Jf ... unatupigia story sisi. kwani sisi ndio mumeo? ... anyway! dont let me down for second alternstive .. niko hapa Pm ..!

Mbongo bana sema umevutiwa na makalio yake
 
Dunia yako...chaguo lako...chagua kulinda ndoa...
usiibe ruti...
 
Mbongo bana sema umevutiwa na makalio yake

Hah Hah ...! kabla sijasema ukweli .. nikpongeze wewe kwa kuona moyo wangu ...kama ulivyo! heb niambie umenijuaje kihivyo? .. kama tulishakuta .. wapi vile hebu kumbuka!
 
Ukishaolewa tena ukazaa watoto, wewe si msichana tena! Wewe ni mama. Ni muhimu mno ujitambue kwa usahihi kuwa wewe ni mama ili ubadili fikra zako kuwa za kimama. Ukitambua hilo, hutoleta thread kama hii tena, badala yake utaliongea na mmeo.
 
waswahili wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi. Hebu niPM nikupe unachokosa.

Binadamu munanifurahisha sana, kwanini usifikiria nini kinamkimbiza mwenzako wewe unataka mzigo uje kwako......nimecheka sana kwa kauli yako.
 
Huna haja ya kuomba ushauri kwani inaonekana tayari una mawazo ya kupigwa gemu za nje.
Mi nnavojua kwa sisi men jinsi umri unavyosonga na perfomance nayo inapungua kidogo kidogo,so usifikiri ataendelea kukushindilia mibao lukuki kama zamani !!
Ila kama unahisi mechi za ugenini zinaweza kuwa na tija, basi hamia huko kwa vyovyote hao watakaokugonga watakulelea wanao pindi utakapoikanyaga miwaya THINK TWICE !!
Hamna bhana demu atakuwa amem-boa tu jamaa hebu soma hii:
[h=5]As man is to provoke nature to action, so is the woman to provoke man to action. Man is the woman’s nature, her earthly God. She is to inspire him to action if she is to succeed in life. A woman can open or close the reserves of her man by her behavior only, be it sexual reserves or providence. She must emit a ray of correct wavelength in terms of character so as to unlock the doors of sustenance in the man.

ILLUSTRATIVE STORY ;
George and Allan were neighbors and their wives had become real friends. George was about forty years of age while Allan was a little older. Their wives were both in their early thirties. Usually neighbors do not differ much in matters of finances and both families were in the same middle income bracket.
Allan had the build of an athletician, although he was not of the sports type. This feature, however, made him gain unusual respect from the neighbor’s wife. At times, when they met accidentally alone, she would drop her eyes to the ground and start picking her nails, apparently nervous. This kind of mannerism struck Allan as the kind of submission, but he held his fire, lest he should offend George his neighbor.
It was not easy. As the woman kept showing it, Allan kept burning inwards until he turned supernova. One day he beckoned to her and she came running. They went into hiding in a private room and the woman was shaking like a reed. Her hands were full of perspiration and Allan had to help her take off her clothes. He then swept her into his arms and crushed her like a bone crusher.
When she came out of it she figured she had become boneless. Locomotion became an effort and she visioned furniture in the room were turned upside down. In reality Allan did not know where all that energy had come from. He had never before clobbered a woman in the fashion he did with this one in particular. He had never afforded to give his wife half this kind of treatment; which he had used to impel the George wife. It seemed quite miraculous and incomprehensible as far as he was concerned.
Let me tell you where this energy came from; it came from the noble reserves in a man whose doors can only be opened by what a woman emits to it. The mannerisms displayed by the George wife were exactly the keys needed to unlock those hidden doors and unleash the ferocious forces.
Older men of age fifty and above prefer young girls because these do emit the rays which turn them on very easily. It is also assumed in this case that their level of spoilage is still low and the mileage is also very low. This knowledge alone constitutes a latent ray large enough to pass a spark in the hearts of these men. Older women as they gather years above thirty they usually become stubborn and spoiled.
They practice the art of massacring their men. These also do prefer younger men, but for different reasons. The one and most important reason being that the younger blood does it better and can generate a befitting clobbering. Let me tell women this: don’t engage in the business of assassinating your husbands and start looking for boys; because your men whom you consider old and tired are more competent at it than those young ladies you hunt around.
The grass is sweeter on the other side of the fence only because you think it. Give your man the kind of glory he deserves and see what is coming your way. You will receive a clobbering such as will give you a heart attack and make you wonder if you ever knew him. If you ignore my advice, you will soon find the boys trash and move on to the artificial organ, which will in turn disappoint you and in the end start being really sick out of disillusionment. There is onlydeath in store for you when you choose ways not in keeping with your design by the hand of nature.[/h]
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

Humu kama unatangaza biashara yako, nadhani utapata wateja wengi sana japo wote sio jibu sahihi maana at the end utavunja ndoa yako. Kama kweli wewe ni mke ndani ya ndoa kama ulivyojieleza basi hufai kuitwa mke hata kidogo, hauna maadili ya kutosha hata kidogo, japo sijui imani yako kwa dhati, ingawa naweza ashume kutoka kwenye hilo neno lenye RED kwenye andiko lako, lakini yote tisa ndoa lazima iheshimiwe na watu wote.

Yaani wewe unaona ndoa ni tendo la ngono pekee, na isitoshe kwenye andiko lako hakuna sehemu inayoonesha kuwa umejaribu kuongea na mwenzako kwa kirefu juu ya jambo husika. Unaweza kukuta mwenzako ana matatizo kazini yanampa msongo wa mawazo wewe badala ya kuongea naye vizuri unamwomba mapenzi kana kwamba unaomba maji ya kunywa toka kwa msichana wa kazi.

Bibie nyumba inajegwa na ninyi wawili, ukishaingia barabani utaivunja na huenda ndio lengo lako. Mwisho niseme tu kama unafanya biashara ya mwili wako humu ndani kila la heri, maana nimeona unasema mara nyonga, makario nk hapa utawapata wengi hata ukiweka no ya cm utapigiwa simu hadi ushindwe kupokea hata mojawapo, lakini kama uko serious na tatizo la mapenzi kwenye ndoa yako umekosea njia ya kutafuta solution, kaa na utafakari vema juu ya ulichofanya.

Mwisho kabisa Samahani yawezekana nikakukwaza kwenye maelezo yangu, lakini sina nia mbaya nawe dada/mdogo wangu
 
Pm mimi ninayo dawa ya kumaliza hilo tatizo
 
Hah Hah ...! kabla sijasema ukweli .. nikpongeze wewe kwa kuona moyo wangu ...kama ulivyo! heb niambie umenijuaje kihivyo? .. kama tulishakuta .. wapi vile hebu kumbuka!

Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba
 
Dada kwanza kabisa nakupa pole kwa changamoto unayoipitia katika ndoa. Maisha ya ndoa ni safari yenye changamoto nyingi ambazo zinahitaji akili ya kipekee ili uweze kuzimudu, kumbuka kiapo ulichotoa mbele ya kiongozi wako wa dini kuwa utampenda, utamlinda na kumheshimu mumeo kwa nini ufikirie kumfanyia hivyoooo??? Unanipa wasiwasi unaposema unampenda mie nahisi ulikuwa unamtamani kwa kuwa alikua anakufikisha vilivyo. Unatakiwa kubadili mtazamo na kujitambua kama mke wa mtu mwenye wajibu wa kuifanya ndoa iwe yenye furaha na amani.
Fikiria na Ujiulize:
Unapaswa kumpenda mwenzako kwa dhati na uwe tayari kujitathmini kwa namna unavyoongea naye, usafi wako wa mwili, unamjali kama awali au umelalia upande wa watoto muda wote na kumuacha mkiwa?, je umekuwa na tabia ya kumuuliza maendeleo ya kazini?, unampikia chakula cha aina gani?
Fanya
Msome mwenzako ujue ni kitu gani amekikosa-ili umpe.
Uwe unazungumza naye kwa upole na upendo-Atakueleza mapungufu yako.
Jitambue kuwa wewe ni mwanandoa na huyo ndiye mumeo-Mheshimu.
Tathmini kipato chenu na usitumie zaidi ya mnachoingiza-Umpunguzie msongo.
Thamini anachokifanya na umkubali kuwa anaweza- Ajiamini.

Hitimisho:

Huyo ni mumeo kamwe hutapata mwingine kama huyo kwa jinsi alivyo, hivyo unapaswa kukaa nae mzungumze ili mbaini tatizo na muweze kulitatua kwa upendo ili maisha yenu yawe yenye furaha na amani, pia kumbukeni kumwomba Mungu huwa ni msaada mkubwa kwao wamtegemeao. Kuweni wabunifu katika style za kufanya tendo ili mjione wapya katika ulingo wa mahaba, isiwe kila siku kuchuma mboga hata hivyo mapenzi si tendo tu bali hata maongezi matamu, kufurahishana kwa michezo mbalimbali, kupapasana na kuchezea sehemu mbalimbali ambazo huweza kuamsha hisia kirahisi.
 
Ukienda kucheza mechi za nje utakuja kujuta.....jaribu kutafuta tatizo liko wapi ongeza ufundi mpe mambo mageni kwake tizama ata pono ujifunze stail take care
 
Haahhaah mmhh kazi kwelikweli,dada ongea na mumeo sikushauri shoo za nje
 
Mpe double line tu huyo ndio dawa yake, kila siku atakuwa anaomba!
 
napita tu hapa, kuna wale vijogoo wanaodhani mke mmoja hatoshi natumaini wameisoma hiyo.....
 
Back
Top Bottom