Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Umetia Aibu sana.hili ni tangazo la biashara kabisa na wala hautafuti ushauri
 
Hahaaaa we mtoa mada wewe embu kidogo kwetu sie ni kwenye shida na raha,tabu na ugonjwa na mengineyo au wewe uliapa nini mwenzetu.
 
kama unataka kutiwa humu si utiwe tuu yaishe!usituchoshe kwa habari ya nini sijui! nini!
naona thread yako imejaa majigambo ya umbo na kutoa ultimatum tu hapa!
kichwa maji kabisa wewe!

pole pole snowhite.................maana du hata hujambakiza kidogo!!
 
justification ya kipuuzi kabisa p
YA KIPUUZI KABISA!
yeye akiamua kugawa rinda agawe tu sio maswala ya kusingizia mumewe sijui kafanya nini!uchovu wa mume wake unahusiana nini na umbo lake kulitaja hapa!kila mtu akiweka shape yake ilivyo si kuna watu watawapanga member mpka wapi sijui hapa!
nilimwelewa vizuri sana aliposema ana tatizo na serious tungeweza kukaa kama kamati kuongea la kufanya!
lakini hili la kujisema sijui ana nyonga sijui iko vip?sijui makalio yamefanyaje!anajua watu wamebeba mizigo ya aina gani kwenye teitei zao !ala!
ale tuuu dio atuite tumshikie miguu!hakuna mtu anamdai!
 
nawangojeni jumamosi! upo mke mwenzangu? naona umeamua kumpa mtu kavu za uso! kazi ipo nakwambia, msalimie mume wetu!

ukiona mpaka mimi nimeonge hv ujue nimeudhika mke mwenzangu!
we wanijua nilivyo mpole na mnyenyekevu wa moyo!lakini hili la mtu kutuona watu hapa ni mazuzu anakuja kutuchafulia hali ya hewa tu humu huwa halina msamaha kwa kweli!
akiona anataka kugawa pochi manyoya agawe tu kama ngamia wa sadaka ila asituletee vurugiko la moyo hapa!
 
Je, Tupo wangapi? Before you do that, think about it!!! Nadhani ukisha wapanga na ukatoka na gonjwa, hao jamaa watakuja kukusaidia kulea wanao.
Akili kumukichwa, kila mmoja na zake.
Think twice dada, majuto ni mjukuu.
 
najuuuuta kufungua huu uzi.
Yani mke wangu kipenzi ndio umeamua kuja kunidhalilisha huku!
 
Huu uzi umeniacha nacheka mwenyewe tu..lolz
Manake kila mtu anaomba binti amPM....hasa alipoelezea nyonga na makalio..duh!
Sina la kukuambia 'msichana'...akili kumkichwa!

msichana wa miaka 23 af msichana wa miaka 27
kudadeki !mtakoma mwaka huu!
 
mzabzab mambo iko huku, news alert hii!!!!!!!!!!
umenifanya nicheke mamdogo japo moyo umenuna!ah!sasa mi napataje kazi kukuaminisha kuwa ukiingia kwenye ndoa still unaweza kuwa safi!wananipa kazi sana binadamua wa aina hii!
niliwahi kusema humu siku moja !
haina maana kuwa tu wasafi sana,but some of us dont think its wise kuchekelea upuuzi tunaifanya!
 
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe, laiti ningemjuwa mmeo. jukwaa hili wajinga ni wengi sana.
 
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama wewe, laiti ningemjuwa mmeo. jukwaa hili wajinga ni wengi sana.
tutake radhi mkuu!watu tunafanya ya maana sana ukiona we una akili kutuzidi utupishe tu!nenda kwa wenye akili wenzio! Oti Kate unaona madhara ya upuuzi ulioandika! Fadhili Paulo tutake radhi tu kwa heshima yetu!si wote wenye akili zinafanana na huyu kuranjiso!
taifa linaanzia kwenye familia!thts MMU
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimejisikia vibaya sana kuona mwanamke mwenye watoto 2 anaweza kuandika ujinga hivi, hivi hakuna namna tunaweza kumpata mmewe?, mi naweza subiri nicheki IP address yake nitaenda html na tutampata tu aje auone upuuzi wa mkewe. Mwanamke kama huyu dawa yake unamtafuta na unawatafuta na wanaume wengine kama 20 hivi mnamfanya katika matundu yake yote mpaka akome. Ngoja nitaleta jibu, mimi tena.

tutake radhi mkuu!watu tunafanya ya maana sana ukiona we una akili kutuzidi utupishe tu!nenda kwa wenye akili wenzio! Oti Kate unaona madhara ya upuuzi ulioandika! Fadhili Paulo tutake radhi tu kwa heshima yetu!si wote wenye akili zinafanana na huyu kuranjiso!
taifa linaanzia kwenye familia!thts MMU
 
Yaani nimejisikia vibaya sana kuona mwanamke mwenye watoto 2 anaweza kuandika ujinga hivi, hivi hakuna namna tunaweza kumpata mmewe?, mi naweza subiri nicheki IP address yake nitaenda html na tutampata tu aje auone upuuzi wa mkewe. Mwanamke kama huyu dawa yake unamtafuta na unawatafuta na wanaume wengine kama 20 hivi mnamfanya katika matundu yake yote mpaka akome. Ngoja nitaleta jibu, mimi tena.
naomba ututake radhi lakini!umetujumuisha wote kwenye hili kosa!nimeumia sana kama mdau wa MMU,tuombe tu msamaha sisi wengine!!
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

Mie naomba utakapo anza kujirusha unifikirie wakwanza nije nkupe show ya kufa mtu
 
Sawa Mkuu. NAWATAKENI RADHI WOTE ISIPOKUWA HUYU MPUUZI. Nimesoma ule uzi wake mwingine aliouandika 2012 anasema ana miaka 23 na huku anasema ana miaka 27, kumbe 2012 mpaka 2013 ni miaka 4?!!. Huyu ni mpuuzi, moderator wa jukwaa hili ni nani?.

naomba ututake radhi lakini!umetujumuisha wote kwenye hili kosa!nimeumia sana kama mdau wa MMU,tuombe tu msamaha sisi wengine!!
 
Back
Top Bottom