Hawa dada zetu saa zingine huwa wanakuwa wanashida sana eti utakuta
ume do na mumeo hujaridhika husemi unagugumia,
unataka ku do husemi/haufunguki,
kitandani ushirikiano hamna umetulia ka gogo,
kinachotakiwa ni kujichunguza kwanza wenyewe ndipo akae meza moja na mumewe
maana mkigundua tatzo lipo wapi ni nusu tiba/suluhu
lbda kuna mauzi,masengenyo,lugha yako sio nzuri kwake, au usafi au umenepa mno hamu imekuwa ndogo kwake n.k
huwezi eti umwache kwa miez kadhaa umwangalie kama hali bado utajua anatoka nje ya ndoa du! Usidhalilishe upeo wako kwa hili dada mf
🙁mwanao kazidiwa sasa hivi unasema ngoja nikae mpaka jioni nione kama bado basi atakuwa na maralia, we mtu au hamnazo)
je kama tatzo la nguvu za kiume limeanza kutokana na kazi nyingi,mchoko nk.? Na hilo tatizo kujiludi kukaa sawa kunahitaji ukarbu,uvumilivu na upendo wa hali ya juu
acha kutishia eti kuna wanaume wengi wanao kufuatilia NO, ondoa hiyo dhana kabisa kila mwenyesketi mtaani anapgiwa mluzi sembuse wewe, siku hizi wahuni hawana adabu hata bibi wanabaka ijekuwa wewe kuitwa mchana kweupe?
Watu wanandoa zao lkn kona za uwanja wa fisi huwakos iwe ngumu kukuita wewe mke wa mchana.;
kumbka ubaya haulipzwi kwa ubaya aliye kutendea ubaya mtendee wema, zidisha mapenzi kwake yeye mwenyewe mwisho wa siku ajiona
bonge la ---- kutoka nje ya ndoa.
Jieheshimu iheshimu ndoa na mlindie mumeo heshima,
nimalizie tu kwa kusema kama wazuri walioolewa na wasioolewa
walipapatikiwa sana tukiwa tunawaaona
sasa wamefuria ------ hawana yamebanda ka dereva mbaula wamerud kwa wazazi wao watoto kwa bib
Ukimwi upo active dada
utakuja kuomba ushauri tatzo kubwa zaidi hili mara mia
Upande wa pili:
1. Je, mume wako amebadilisha kazi, au kuongezewa majukumu au kupanda cheo? - manake stress zimeongezeka
2. Je, kuna mtoto ambaye ameshaanza shule? - manake ADA zimeanza, kipato cha uhakika zaidi kinahitajika, STRESS zimeanza
3. Je, wewe mwenyewe umeshaongeza staili mpya ngapi (UBUNIFU) tangu upate mtoto wa kwanza, na huyo wa pili? - manake baadhi ya vigezo alivyotumia mume wako kukupenda pale mwanzao KWA SASA HUNA, and never try to force.
JIPANGE. Yakikushinda wapo watakaokusaidia, na ngoma ipo inasubiri ufanye maamuzi ya kijinga uhangaike nayo.
...Juzi tu hapa nilipita kwenye kiwanda cha ARV nikakuta wanapanua kiwanda.