The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
ndo mana siku hizi siingiagi mmu,too much vishawishi,naogopa kutia ndoa yangu majaribuni.
copy: The secretary
Kishawishi wapi na huku ni tamaa inawaka mwilini mwako na sio kwamba vishawishi umefuliaaa. Mamndenyi
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
Tafuta kidumu kulinda ndoa yako
imaney ... Hapo kwa kumwambia mwenzio afanye hivi
"cha kufanya jikeep busy na watoto fanya mazoezi na mwili utachoka,hivyo na kasi ya kufanya mapenzi itapungua na kuendana na ya mumeo....."
Unatudanganya bana .. Nawezaje kupata sex satfaction kwa kuji keep busy lol.
Hakunaga mbadala wa hicho kitamu aisee.. Ha haaaaaaaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
:A S 39: akili za kuambiwa changanya na zako-Mbayuwayu
Naamini kachanganya na zake mpaka muda huu!
Kishawishi wapi na huku ni tamaa inawaka mwilini mwako na sio kwamba vishawishi umefuliaaa. Mamndenyi
Mamndenyi kwa nini unamwaga kuku kwenye mchele mwingi?
Naomba ukiwa tayari kwa revenge nitafute nikusaidie kazi, maana mie na mikia mikubwa kama hiyo hoi mpaka basi..Habari wanajamvi,