Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!
Jichinguze usafi! Wanaume huwa tunaboreka na mambo mengi. Mojawapo ni usafi, kama huandai mazingira mazuri ya kumpokea mmeo akitoka kazini (kuoga naye, wewe kuhakikisha unakuwa msafi). Hata kama amechoka ila kama wewe unaonesha mahaba (kimazingira yanayovutia) basi itakuwa ngumu.
 
hebu heshimuni ndoa zenu nanyie heeee.....
mume akisema kachoka ndo ujifanye nawe unatafuta sa kama kachoka kweli aisimamishe na p.o.p???
kama una hamu na mechi ya kirafiki you just go for it usitafute sababu!!!!!!!!!!!!!

hahahaa watu wanatafuta pa kutokea bana tangu lini wanawake tukakosa uvumilivu namna hiyo kisa nanihii?
 
Nakutamani ningekuwa mimi dah, hilo wowowo ningekuwa nakupeleka puta.
 
ndo madhara ya kusepa unyago.. Mwanamke ni ubunifu, we kila uchao kifo cha mende.....akirudi kazini upo bizee na remote ya tv, ..chakula anatengewa na house girl; wakati wa kulala anakuacha sebuleni busy ukiangalia tamthiliya...ukirudi chumbani yeye yupo fofofo na kwa mbali akimalizia ndoto yake ya nne!
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!
Mkuu, pole sana na matatizo hayo ktk ndoa yako ambayo mm nawezasema bado ni CHANGA!
Pili, kabla sijakushauri nn cha kufanya, mm nadhani ni vyema kwanza tukazungumzia mambo machache ambayo yaweza kuwa chanzo cha LOW PERFORMANCE muwapo kitandani, hasa kwa wanaume! Mkuu Ole, ili mume aweze kuumiliki vizuri mpira uwanjani, ni lazima kwanza asiwe na stress, hii itamfanya mawazo yake yote awapo sita kwa sita yabakie hapo hapo na asiwaze kingine!
Zipo tabia mbaya za wanawake wengi tu ambazo zimekuwa kero na kusababisha stress kwa wanaume! imeshuhudiwa mara nyingi kuwa ,wanawake soon baada ya kuolewa wamekuwa ni watu wa kuridhika saaaaana, matokeo yake wanajisahau kabisaaaa... utakuta mtu:_
1.Hajishughulishi tena awapo sita kwa sita na kumuachia mume jukumu lote!
2.hana uchangamfu wala utundu wa aina yoyote ile wa kulinogesha penzi na mahusiano kwa ujumla kama ilivyokuwa awali.
3.Hamthamini tena mume kama awali, sasa anamuona ni mtu wa kawaida tu na hata atokapo kazini hapokelewi wala kuchangamkiwa kama ilivyokuwa awali.
4.Kusikiliza zaidi ushauri wa mshoga zake mitaani bila kujali kuwa sasa yeye ni mke wa mtu na anatakiwa kushauriana zaidi na mumewe kwa manufaa ya familia yao.
5.kuamini kuwa mume ndo mwenye jukumu kwa asilimia zote za kumlea mke, familia na hata ndugu wa mke nao mme atalazimishwa awahudumie.
6.Mwisho, utakuta mke ndo anajinenepeeeeeea,anakosa hata ladha! kisa, hataki kufanya mazoezi eti yeye ni mke wa kiongozi kila aendako ni gari tu!
Cha kufanya:
Ninakushauri usijelogwa ukatoka nje ya ndoa yako utajikaanga mwenyewe! Bali jiulize umekosea wapi ili ujirekebihe, kisha mueleze pia mumeo kuwa siku hizi hakufikishi kule mwiho wa rami kunako utamu ulokufanya awaage baba na mama na kuhamia
kwake.
Wadau, mie huu ndo ushauri wangu!
 
unataka bwana au unataka ushauri bibie!!

Pole mrs wa mtu chamsingi fanya yako yakae sawa theni jichunguze kama hufanyi mambo yetu yale kimazoea
maana shida ya baadhi yenu ni nawashangaaga sana unajiwka safi sana ukiwa unatoka kwenda kazini tu ukiwa nammeo aah wala hata wanja ngumu kwako sasas jiulize na wengine pia WAJIULIZE mnapendeza kwaajili ya nani?

Plii fanya ubunifu wa ziada sio utoe tigo huo niubunifu mfu piga vinguo transparentc hupi kwa mbali yabeep eeh
ujiweke vema mara kwa mara mume hacho k wewe kama ukofiti umbo sio kigezo sana mara nyingi kumbuka sisi wanaume tunapandisha hisia kwakuona tu moyo paah mshigongo laadhi shimoni majila unapandisha surawali fasta inakuwa fupi ok.

umeshindwa njoo kwangu nikupe darasa ukichemka basi nakupa practical mwenyewe nakuwa kidumu uone kama hataanza wivu nakuomba marakwa mara,
 
Nilijiunga JF kwa ajili ya watu km nyinyi,nipe mimi mama ila tatizo moja huwa natumia 0713/0714
 
Naomba uanze na mimi jamani napenda wenye bambataa kama uliyotaja
 
Dada yangu hii ndo dunia, kwa mawazo yako nawaonea huruma sana familia siku ukikanyaga miwaya, mwanamme kuacha kukutomba vizuri haimaanishi ana mwingine nje kuna mambo mengi 1.---- yako imetanuka na haimuvutii kama zamani alafu ukitoka nje utakayoiona kubwa inakulidhisha, ukiizoea pia haitatosha kwa sababa ---- ni elastiki mi nina ndefu na nene sana lakini siku izi wife ananiambia ingiza yote wakati mwanzo alisisitiza nijali sana kizazi chake nisikisogeze mbali 2.Inawezekana mumeo anawaza sana future ya familia so ana kazi zingine za kumuingizia pesa tofauti na zamani so akikalia kutombana watoto watasomaje na elimu ya siku izi ni gharama sana 3.Kama huna kazi tafuta kazi ili na we uwe unachoka ikifika jioni ili usiwe na tamaa ya kuingiziwa mtaimbo 4.Hata kama ana mtu mwingine hakikisha unajifunza kumgongesha vizuri na uwe na nyege kama zamani ili adate tena na onyesha upendo zaidi kwake lazima alainike tu.
 
Umetoa ushauri mzuri sana,ila kitu kimoja mwambie kama amekuwa kibonge ndio sababu kwa kuwa mume wake bidhaa imekuwa fupi haifiki pale pa mwanzo......so awe mwembamba az wadada wengine walio kwenye diet ili wafike kirahisi.......then asisahau mnene hana mvuto.
 
Huna haja ya kuomba ushauri kwani inaonekana tayari una mawazo ya kupigwa gemu za nje.
Mi nnavojua kwa sisi men jinsi umri unavyosonga na perfomance nayo inapungua kidogo kidogo,so usifikiri ataendelea kukushindilia mibao lukuki kama zamani !!
Ila kama unahisi mechi za ugenini zinaweza kuwa na tija, basi hamia huko kwa vyovyote hao watakaokugonga watakulelea wanao pindi utakapoikanyaga miwaya THINK TWICE !!

Huna haja ya kuomba ushauri
kwani inaonekana tayari una mawazo ya kupigwa gemu za nje.
Mi nnavojua kwa sisi men jinsi umri unavyosonga na perfomance nayo
inapungua kidogo kidogo,so usifikiri ataendelea kukushindilia mibao
lukuki kama zamani !!
Ila kama unahisi mechi za ugenini zinaweza kuwa na tija, basi hamia huko
kwa vyovyote hao watakaokugonga watakulelea wanao pindi utakapoikanyaga
miwaya THINK TWICE !!

Naunga mkono hoja!
anaisi kutoka nje ndo suluhu kumbe ndo mwanzo wa matatatizo,mm nilihisi utaanza kusema hatua za utatuzi wa tatizo ulizozichukua na ikashindikana ukaamua kuomba jf ikushauri,cha kushangaza unaomba ushauri jf kabla ya muhusika wa tatizo hukutafta nae suluhu.
ebu wahusisheni walosababisha matatizo ktk utatuzi ikishindikana mlete jukwaani,unalala nae kitanda ki1 hajui tatizo lako unakuja kuomba msaada kwa m2 alombali na ww.
dini gani inakuruhusu utoke nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom