Mume hanifikishi kisawasawa

Mume hanifikishi kisawasawa

Ndo wale wale "aliyefungashia Oti Kate" una laana ww na wanawake wa type yako!
 
Sikushauri kutoka nje ya ndoa yako,utatoka siku ukifumwa ni aibu na fedheha,kaa chini na mumeo,muulize taratibu,kimahaba,atakueleza kinachomsumbua,waume zetu wanakutana na mengi ila si kila kitu mwanaume anasema,na usipende kufikiria negative,always think postive about your huby!
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

Hiyo spidi uliyonayo dada ni kubwa mno.
Umeshasema mna watoto, hujawahi hata kuchunguza lifestyle yenu tangu mmepata hao watoto.
Men are more responsible when it comes to family kuliko women. We umekaa tu hapo unafikiria kufika kileleni wakati humsaidii huyu jamaa na stress na mawazo aliyonayo ya kusukuma hili gurudumu. Ume channel energy yako into sex wakati mwenzio energy yake hiyo hiyo amei direct kwenye kuwaza na kupambanua ni jinsi gani haswa watoto na wewe wanapata mahitaji yao ya muhimu.
Hujasema kama unafanya kazi na ndo maana nahisi kama una mda mwingi sana hata wa kuwaza sex. An idle mind is the devil's workshop so the saying goes.
Embu jishughulishe walau kidogo tuone kama hiyo 'hamu' kama itaendelea kuwepo.
Usiwe na akili fupi za kukurupuka na kuitukanisha taasisi ya ndoa haraka haraka. Kuna mabachela wengi humu JF. Na wao wakianza kuwaza kama wewe nna hakika Tanzania itakua na maadili mabovu sana.
Open dialogue muhimu sana kwa wanandoa. Ndoa sio short term contract kwa taarifa yako. Its a lifetime vows. We uliapa mbele ya Mungu kuwa naye kwenye shida na raha. Ulishawahi kuwaza hivyo hata siku 1?
Ongea kwanza kabla hujayaharibu maisha ya watoto wenu kwa kuwabemenda mapema.
Trust me hao watoto wakija kujua (kama utaamua kuiba ruti) hawatakupenda. Hapo ndo utakapojua kama ndoa is of God.
We umepewa dhamana tu. So linda ndoa yako.
Hao wanaokushauri humu wengi sana ni mabachela wanahamu ya kuonja onja kila iitwapo leo. Wengine wana ndoa zao thabiti ila wanakupa ushauri utaabishao hapo mbele.
Chukua tahadhari na uwe unahusisha ubongo zaidi kuliko hisia zako.

Mwisho katika biblia Mithali 31 kaisome yote mwali wee. kama una shida nitafute PM nikusaidie zaidi kwa ushauri.
 
Mkuu Kibol wizi wa ruti lakini inatakiwa ujiandae kuwapa chai sumatra na trafic.
 
imaney ... Hapo kwa kumwambia mwenzio afanye hivi

"cha kufanya jikeep busy na watoto fanya mazoezi na mwili utachoka,hivyo na kasi ya kufanya mapenzi itapungua na kuendana na ya mumeo....."

Unatudanganya bana .. Nawezaje kupata sex satfaction kwa kuji keep busy lol.

Hakunaga mbadala wa hicho kitamu aisee.. Ha haaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mnh....
 
Habari wanajamvi,

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!
Naomba ukiwa tayari kwa revenge nitafute nikusaidie kazi, maana mie na mikia mikubwa kama hiyo hoi mpaka basi..
 
Mbona sie tunaowahi kukojoa raundi ya kwanza hatukimbiwi? Raundi ya pili ndio shuguli inaanza. Mke wangu nae angenikimbia kwa hili? Kuwa mbunifu msichana, tembea uchi chumbani jifanye unaokota kitu na uzuri pusi itatokeza fresh basi mzee atakuja tu. Kitombo kinatofautiana siku na siku na kinakinai kama vile unavyokula chakula aina moja ndio maana unaona watu wenye hela zao wanaenda vacation hotel ili tu kubadili mazingira. Ukienda nje utapata puli itakusisimua kwakuwa itakuwa mpya kwako na nakwambia hutaaacha na mmeo atagundua tu hata uwe na siri gani....
 
Back
Top Bottom