Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
ndo mana siku hizi siingiagi mmu,too much vishawishi,naogopa kutia ndoa yangu majaribuni.
copy: The secretary
copy: The secretary
Last edited by a moderator:
Eheeee! hayo sasa! Mi naona wewe hushughuliki, bali unapenda kushugulikiwa tu! Umeshasema hapa kwamba umenenepa makalio, hilo sio tatizo kama unajua kazi. Inaonesha hayo makalio yamekufanya uwe mvivu sana. Halafu, jichunguze isije ukawa wewe unampa stress mmeo ndo maana he is not concentrating when he makes love. Je huko nje wewe umemuona anavyo
Kwani kasema hatoi....
hahahaha wewe ndio wamuongelea sasa....acha hizo wacha nimcheki lakini kama analipa
wacha kuremba bana wewe kishasema ana makalio makubwa unataka ucheki nini tena!!!!!
ukubwa wa makali sio utamu wa tigo...lol
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli....yaani nikikutana nae...aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa....na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime.....! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi...da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa....wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji...nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale "Dar es Salaam" kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro......tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu....so na mm nitaanzia humuhumu jamii formu kutafuta kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!