Mume anapokataa kuvaa pete ya ndoa

Mume anapokataa kuvaa pete ya ndoa

Wana

mkuu wake za watu walikuwa na neno lao MBA Married But Available wakimwona wanaemzimikia
Ni rahisi sana kumtongoza mke wa mtu kwa sababu ndoa nyingi haziko strong, wanandoa wengi wanafake maisha nje mnawaona wana happy marriage kumbe ndani ni tia maji tia maji.

Sasa wanawake waliopo kwenye ndoa za aina hii wakikutana na wanaume wanaojuwa kuupepeta mdomo ni lazima aliwe tu, tena swala la pesa halihusiki kabisa hapo ni nyege tu.

Kuna kosa kubwa linafanywa na wanawake walioolewa akiwa nyumbani muda wote kanuna ila akitoka nje huwezi kuamini kama ndio yeye.

Nimeshaona wake kadhaa wa washkaji hawana adabu kwa waume zao lakini mimi wananiheshimu to the maximum. Huu ni unafki na upuuzi wa hali juu.

Let your Man aproud kuwa na wewe, siyo muda wote umenuna tu with no reason.
 
pete ina faida hasa kwenu
mtu akiona mdada kavaa pete ya ndoa mawazo ya kutinduliwa mtaro yanakuja lazma ufanye maamuz sahihi kabla hujageuzwa shoga so wasumbufu wanabaki wachache

ila kwetu sie wanaume,,pete sizani kama zinawatisha nyie labda kwa wachache wanaojielewa wasiopenda kupotezewa mda
Sasa kumla mke wa mtu ni rahisi kuliko unavyodhani wewe, nina vivid evidence.

Nimeacha kwa sasa kwa sababu ya maturity naona siyo sahihi kufanya hivyo, ila pete haisaidii lolote wanaliwa tu kama kawa.
 
Ni rahisi sana kumtongoza mke wa mtu kwa sababu ndoa nyingi haziko strong, wanandoa wengi wanafake maisha nje mnawaona wana happy marriage kumbe ndani ni tia maji tia maji.

Sasa wanawake waliopo kwenye ndoa za aina hii wakikutana na wanaume wanaojuwa kuupepeta mdomo ni lazima aliwe tu, tena swala la pesa halihusiki kabisa hapo ni nyege tu.

Kuna kosa kubwa linafanywa na wanawake walioolewa akiwa nyumbani muda wote kanuna ila akitoka nje huwezi kuamini kama ndio yeye.

Nimeshaona wake kadhaa wa washkaji hawana adabu kwa waume zao lakini mimi wananiheshimu to the maximum. Huu ni unafki na upuuzi wa hali juu.

Let your Man aproud kuwa na wewe, siyo muda wote umenuna tu with no reason.
Tunafeli mara nyingi kwenye mahusiano si ya kikazi, kiujiraniau mapenzi kwa kushindwa kutumia mawasiliano ndiyo communication can resolve the world from wars.

Uneshaona jirani uswahilini hana mali nyingi lakini akipata shughuli watu wanamchangia kwa hali na mali kwakuwa ana kauli nzuri kwa watu.
 
Tunafeli mara nyingi kwenye mahusiano si ya kikazi, kiujiraniau mapenzi kwa kushindwa kutumia mawasiliano ndiyo communication can resolve the world from war.
Bila kumung'unya maneno kwa asilimia kubwa tatizo lipo kwa wanawake.

You know what? Jiulize ni kwa nini nyumba ndogo karibu zote ni wakarimu na wanawahandle wanaume?

Ina maana hawa nyumba ndogo siyo wanawake? Jibu ni kwamba dada zetu mkishaolewa mnaona mchezo umekwisha na huduma za mume anafanya dada wa kazi na ukiwa na kibaruwa ndio usiseme ni balaa kabisa.

Mkitaka kupata majibu ya kweli na mkiwa na nia ya kujirekebisha angalieni handling za wanawake wenzenu walio nyumba ndogo mjifunze toka kwao.

Ni kwa nini mkiolewa mnabadilika?
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Imekaa vizuri kama amebadilisha marital status yake basi ana nia njema ya kulinda ndoa yake
Wavaaji pete ndio wengi wanaodhulumu ndoa zao mchana kweupe!

. Wenzetu wasabato sio wote lakini wengi wao kutokana na imani yako hawavai pete za ndoa. Nafahamu wengi waume za watu hawavai pete za ndoa lakini wanazilinda vyema ndoa zao. Baadhi ya wanaume wanaona jewelry ni kwa ajili ya wanawake tu.
 
Bila kumung'unya maneno kwa asilimia kubwa tatizo lipo kwa wanawake.

You know what? Jiulize ni kwa nini nyumba ndogo karibu zote ni wakarimu na wanawahandle wanaume?

Ina maana hawa nyumba ndogo siyo wanawake? Jibu ni kwamba dada zetu mkishaolewa mnaona mchezo umekwisha na huduma za mume anafanya dada wa kazi na ukiwa na kibaruwa ndio usiseme ni balaa kabisa.

Mkitaka kupata majibu ya kweli na mkiwa na nia ya kujirekebisha angalieni handling za wanawake wenzenu walio nyumba ndogo mjifunze toka kwao.

Ni kwa nini mkiolewa mnabadilika?
Kuna dada nilikutana nae, alikuwa anaishi kwenye chumba then. Aliniambia mume wa mtu akifika kwake anawekewa maki ya kuoga, anapewa khanga ajifunge kiunoni. Wali na samaki Julie's juu ya mkaka chumbani na mimba ya samaki mwanaume anaondokewa. Anashushia juice ya maembe au ninasikia freshly made.
Hapo bado shughuli ya kutandani.
 
He he he helu mayu!. Kumbe watu bado wamo gizani!. Wanapovaa Pete za ndoa wanafikiri ni kinga ya ndoa. Pete hailindi ndoa, ndoa inalindwa na dhamira ya Mtu iliyomo ndani moyoni. Wengi waliofunga ndoa na kuvaa mapete tumewaona wakiingia majaribuni na kusaliti ndoa zao.. Kwanza fahamu kuwa kuvalishana Pete za ndoa , ni mapokeo ya kipagani toka kwa Wagiriki waliokuwa na miungu wengi, baadhi yao ni mungu mke Athena, na mungu mke Diana, na pia Vestal mungu mke wa wanawali. Mapokeo haya, yameingizwa makanisani na kufanywa kuwa sehemu muhimu katika ndoa za Kikristo. Ndoa sio Pete bali ni maneno ya viapo wanandoa wanavyoapiana mbele za MUNGU,na mbele za mashahidi. Kama unafikiri kuwa Pete itamzuia uliyefunga Nate ndoa, unajidanganya, kalaga baho.
 
Kuna dada nilikutana nae, alikuwa anaishi kwenye chumba then. Aliniambia mume wa mtu akifika kwake anawekewa maki ya kuoga, anapewa khanga ajifunge kiunoni. Wali na samaki Julie's juu ya mkaka chumbani na mimba ya samaki mwanaume anaondokewa. Anashushia juice ya maembe au ninasikia freshly made.
Hapo bado shughuli ya kutandani.
Sasa iga hizo treatment kwa mumeo kama umeolewa utaona matokeo yake mpaka wasaga sumu watasema umemroga mumeo.

Ni sawa na Wakinga tuliaminishwa utajili wao ni wa uchawi tu lakini research niliyofanya nimegunduwa haws watu ni hard workers na wale waganga huwa wanawapa masharti ya kiuchumi na siyo uchawi pasee.

Imagine mganga anakwambia usihonge mwanamke pesa utaaribu masharti ya dawa, wala usinunuwe gari, wala usivae nguo za gharama.

Unadhani ndani ya miaka miwili mtu wa aina hii amekomaa na biashara na anatimiza haya masharti hewa hatotoka kibiashara?

Everything is in your hands hakuna limbwata so far ni treatment tu.
 
Kwani ukivaa pete huwezi kuwa msaliti? Speaking from 12 years experience kwenye ndoa.
 
Kuna wanaume wengine wanavaa pete na hata hawajaoa (mabazazi)...

Inasemekana eti mwanaume akivaa pete huvutia zaidi warembo kuliko yule asiyenayoa...

Yaani mabinti wanajua kiwa ukijiweka kama side chick kwa husband wa mtu hapo kunakuwa hakuna utoto utoto...
 
Kwani Pete ya harusi maana/ishara yake ni nini!
Inaitwa pete ya ndoa sio ya harusi. Maana yake ni kwamba ukivaa hiyo umeweka nadhiri au agano na mtu la kuwa mwaminifu kwake...huwa tunakula kiapo..."pokea pete hii iwe ishara ya upendo na uaminifu wangu kwako hata kifo kitakapotutenganisha"...kwa wakristo.
 
Maana ipo lakini sio alama ya uaminifu. Wako watu wanaojisikia ufahari kutembea na watu waliovaa pete
Ndio maana nikasema haina maana kwasababu hiyo alama haiheshimiwi kabisa, yaani mtu avae au asivae matendo atakayoyatenda ni yale yale!
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Tukivaa pete michepuko inatuwinda sanaa
 
Maana ipo lakini sio alama ya uaminifu. Wako watu wanaojisikia ufahari kutembea na watu waliovaa pete
"Wako watu wanaojisikia ufahari kutembea na watu waliovaa pete"

Na wenye pete wanakubali mambo hayo, basi hawakufunga ndoa Bali walihalalisha uzinzi.
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Wala haina shida kwani pete ni alama tu nje kuwa umeoa au kuolewa ila moyoni na nafsini ndio ndoa halisi ilpofungwa.kwani kuna wengi tu wanavaa pete lkn wanafanya yale yale au hata zaid ya waliyokuwa wanafanya kabla ya ndoa.Tena mbona kuna dini zingine hawavalishani pete wakati wa ndoa?
Kama haki zote toka kwa mume zinapatikana,basi kila mtu awe huru!
 
Facebook profile ndio imewekwa kama kielelezo? Balaa

Kama amesema hapendi kuvaa, acheni asivae.
 
Back
Top Bottom